Search This Blog

Tuesday, January 15, 2013

OKWI: DILI LIMEKAMILIKA SASA MAPAMBANO YANAENDELEA - ASANTENI SIMBA KWA SAPOTI MLIYONIPATIA


20 comments:

  1. maisha popote kaka, acha tubaki na mazoba akina Ngasa wetu kwa ujira wa viverosa!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Ni bora aisee aagh imekuwa Okwi Okwi,sasa uongozi hayo mahela ya Okwi shughulikieni Kiwanja cha Simba ni kianzio tosha.

    ReplyDelete
  3. Hiyo pesa uwanja jamani na hosteli vya klabu nyingine tutaongezea tutakapo muuza Kapombe coz yule waUlaya pia muda si mrefu.

    ReplyDelete
  4. AHSANTEN VIONGOZ SASA HIZO PESA TUWEKEZE KWA VIJANA.

    ReplyDelete
  5. Ngasa tutakutana UZEENI utakapokuwa unaomba pombe kama wachezaji wenzio wa YANGA kina KIZOTA (marehemu) na pia mtafute ATHUMAN JUMA CHAMA "Jogoo" uone hali yake

    ReplyDelete
  6. hili la kutengeneza hostel na uwanja wa mazoezi ni la muhimu sana. Ni vizuri simba ikaanza hata na kiwanja tu huku ikiendelea kutafuta mbadala wa okwi taratibu na kwa umakini.
    Hongera Okwi, timu uliyoenda ni kubwa bila kujali ni nchi yenye utamaduni tofauti kabisa. Bongo waachie kina ngasa wanaotaka umaarufu na starehe za bongo bila kujua umri unakwenda na fainali uzeeni.

    ReplyDelete
  7. hakika ukitaka mafanikio ni simba imewatoa wengi kina henry joseph shindika,kina sulemain matola,emmanuely gabriery,josephy kaniki,dan mrwanda,haruna moshi boban,patrick ochain,ime ize chwuku,samatta sama goal na wengine wengi na wewe okwi nenda kaonyeshe ujuzi wako na upeperushe bendela ya afrika llako vizuri huko kwa waarabu

    ReplyDelete
  8. Ur a ril pro OKWIIIIIIIIIII uende mbali bra SIMBA WE MIC U ALWAYS. POLE KWA MASTAA WETU WA TANDALE NA TANDIKA..........WAPI NGASSA NA BOBAN SOMO KWENU HILO WATU WANAONDOKA NYIE MNARUD NYUMA KWELI AKIL MALI. KAMUA OKWI.

    ReplyDelete
  9. HONGERA SANA NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA! VIONGOZI WA SIMBA MENO NJE HIZO HELA ZITUMIKE KWA KUANZIA UJENZI WA UWANJA MSIZICHAKACHUKUE

    ReplyDelete
  10. HIYO NDO SIMBA UKITAKA UMATEUMATE WA NJE NJOO SIMBASIMBASIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  11. KIBONDE ANAPIGA KELELE YANGA, YANGA. ONA SASA FAIDA YA KUCHEZA SIMBA. HIYO ELA CHAKULA YA AKINA RAGE HAPO NDO TATIZO LINAPOKUJA.

    ReplyDelete
  12. tusije kulaumiana tu ligi ikianza. letu jicho

    ReplyDelete
  13. Hakika ni jambo la farajaOkwi pia alikuwa anaipenda Simba ndio maana akasaini mkataba mpya majuzi tu huku akijua siku zake za kukaa Simba zinahesabika;ilimradi tu wanasimba tusiumie sana kwa kukosa msaada wake na mahera.Ila sasa kwa aina ya viongozi tulionao linaweza kuzuka sakata ambalo halitaisha salama kam uwazi na ukweli katika matumizi ya pesa hizo hautakuwepo.Jamani viongozi hatutaki mtuletee mizigo eti mapro.. Tuendeleze vijana wetu wanaoukuja juu
    kama njaa Mungu anatuonyesha kupitia vijana hao kwa uvumilivu wao pamoja na manyanyaso toka kwa viongozi.

    ReplyDelete
  14. Mbwembwe tu hakunaga kitu,angeuzwa ulaya je c mngechanganyikiwa,africa mpira bado mno,amkeni nyie wachimba chumvi!!!

    ReplyDelete
  15. chooonde viongozi wa simba hizo pesa za kuuzwa okwi ziinufaishe timu na c mifuko yenu,jengen kiwanja na iendelezen timu b kwan inaonesha matumin ya baade?

    ReplyDelete
  16. Hongera Okwi kuboresha kazi yako ya soka sikubaliani na wanaosema ukitaka kucheza nje nenda simba ila niwakumbushe kuwa Nonda Shaban'Papi" hakucheza Simba bali Yanga na kuonyesha mafanikio kibao ktk ligi ya Ufaransa. Acheni unazi ktk juhudi za mtu bianafsi.

    ReplyDelete
  17. Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi Okwi!

    ReplyDelete
  18. ur real talented Emma,do it!

    ReplyDelete
  19. Hongera Okwi, kaendeleze makali yako pale Tunis na hakika unaweza ukavuka bara hadi huko Ulaya. Ngassa endelea na udenguzi wako lakini jua fainali ni uzeeni utaomba mpaka maji ya kandoro.

    ReplyDelete
  20. Babkubwa!!! Kila la kheri

    ReplyDelete