kidE, Moja ya Event ambazo nazikumbuka ni Ile ya Man City anachukua ubingwa....through Sergio Kun Aguero! Remember wachezaji wa Man u na Mashabiki walikua washaanza celebrate ubingwa b4 Aguero haja-disturb peace.....
Tumia lugha moja acha ushamba unadhani kuchanganya lugha ndo tujue kuwa unafaham kiingereza. Kama unadhani unafahamu kiingereza vzr ni bora utumie kiingereza peke yake acha ulimbukeni.
Mimi ni jinsi usajili wa Timu kubwa za Yanga na Simba ulivyovuta hisia za watu hasa kwa mabeki Kelvin na Twite. Naipenda nchi yangu sana. Mungu ibariki sana Tanzania.
Tuhuma ya RUSHWA kwa klabu ya Azam kuwatuhumu wachezaji wake kuhongwa na Simba ili wacheza chini ya kiwango haitasahaulika miongoni mwa wapenzi wa mpira TZ na duniani kwa ujumla. Hadhi ya vilabu hivi na hasa kwa SSC ni doa linalo acha maswali mengi juu ya uwezo wao wa mpira. Huenda huu ndio mchezo ambao vioingozi wa klabu hii hufanya mara kwa mara. Hebu acheni tabia hiyo mnatuaibisha wapenzi wenu.
Nakumbuka namna Shaffih Dauda ulivyojiingiza na kuvuruga hali ya hewa pale jangwani juu ya ujio wa kocha Marcio Maximo kuja kuinoa Yanga Africans. Naona Akilimali hutamsahau kaka!
TUKIO LA KUMBUKUMBU KWANGU NI MH. RAGE KUWADANGANYA WANASIMBA KUWA AMESHAMSAJILI MBUYI TWITE NA KUONYESHA JEZI YAKE KUMBE WALIKUTANA BAR KISHKAJI WAKAKUBALIANA BILA KUFUATA KANUNI NA WAPENZI NA WANACHAMA WA SIMBA WAKAPIGWA CHANGA LA MACHO HADI LEO WAKO KIMYAAAAAAA!!!

Tukio la Yanga kuwanyakua Yondani na Twite lilinifurahisha sana kwani viongozi wa Simba walifikiri usajili wa wachezaji ni suala siasa badala ya kutumia taaluma na Sheria na Kanuni za soka. Naamini wamejifunza.
Tukio la MESSI kuvunja rekodi ya gwiji Gurd Muller ya kufunga magoli 85 kwa mwaka,rekodi ambayo ilidumu kwa muda mrefu sana takriban miaka 40 hivi..
ReplyDeleteWachezaji wa ZnZ kugawana pesa ya zawadi ya mshindi wa tatu na kuzua tafrani na uongozi wa ZFA.
ReplyDeletehahaaaa weka chote basi hapo iliendeleaje mana kama movie vile duu
ReplyDeleterekodi ya messi kufunga magoli 5 katika uefa champions league
ReplyDeletekidE,
ReplyDeleteMoja ya Event ambazo nazikumbuka ni Ile ya Man City anachukua ubingwa....through Sergio Kun Aguero! Remember wachezaji wa Man u na Mashabiki walikua washaanza celebrate ubingwa b4 Aguero haja-disturb peace.....
Tumia lugha moja acha ushamba unadhani kuchanganya lugha ndo tujue kuwa unafaham kiingereza. Kama unadhani unafahamu kiingereza vzr ni bora utumie kiingereza peke yake acha ulimbukeni.
DeleteMimi ni jinsi usajili wa Timu kubwa za Yanga na Simba ulivyovuta hisia za watu hasa kwa mabeki Kelvin na Twite. Naipenda nchi yangu sana. Mungu ibariki sana Tanzania.
ReplyDeleteTuhuma ya RUSHWA kwa klabu ya Azam kuwatuhumu wachezaji wake kuhongwa na Simba ili wacheza chini ya kiwango haitasahaulika miongoni mwa wapenzi wa mpira TZ na duniani kwa ujumla. Hadhi ya vilabu hivi na hasa kwa SSC ni doa linalo acha maswali mengi juu ya uwezo wao wa mpira. Huenda huu ndio mchezo ambao vioingozi wa klabu hii hufanya mara kwa mara. Hebu acheni tabia hiyo mnatuaibisha wapenzi wenu.
ReplyDeleteNakumbuka namna Shaffih Dauda ulivyojiingiza na kuvuruga hali ya hewa pale jangwani juu ya ujio wa kocha Marcio Maximo kuja kuinoa Yanga Africans. Naona Akilimali hutamsahau kaka!
ReplyDeleteAISEE LILE LA ASTON VILLA KUFUNGWA MAGOLI NANE KWA YAI,DAH LILINIACHA HOI MANAKE HAPA BONGO MAGOLI YAKIFIKA MATANO TU WATU WANAPIGANA NGUMI UWANJANI.
ReplyDeleteTUKIO LA KUMBUKUMBU KWANGU NI MH. RAGE KUWADANGANYA WANASIMBA KUWA AMESHAMSAJILI MBUYI TWITE NA KUONYESHA JEZI YAKE KUMBE WALIKUTANA BAR KISHKAJI WAKAKUBALIANA BILA KUFUATA KANUNI NA WAPENZI NA WANACHAMA WA SIMBA WAKAPIGWA CHANGA LA MACHO HADI LEO WAKO KIMYAAAAAAA!!!

ReplyDeletetukio kubwa kwangu ni kifo cha mpendwa wetu kanumba. RIP kanumba
ReplyDeleteTukio la Yanga kuwanyakua Yondani na Twite lilinifurahisha sana kwani viongozi wa Simba walifikiri usajili wa wachezaji ni suala siasa badala ya kutumia taaluma na Sheria na Kanuni za soka. Naamini wamejifunza.
ReplyDelete