me nampa Ronaldo kwani, usiangalie takwimu tu japo mess anamzidi ronaldo ila angalia uwezo wa mtu kwani wachezaji wa Barca si kama wa madrid, hivyo ronldo ana uwezo mkubwa kwani hana wachezeshaji kama mess, we chukulia uwezo wa kufunga alionao ronaldo angekuwa yuko barcelona, si angekuwa anatupia goli 4 kila mechi
Unajua kwenye kila kitu cha zaidi upatikana kwa kulinganisha. Ronaldo ni mchezaji hatari ukimlinganisha na wachezaji wengine duniani ila kama utamlinganisha Messi na Ronaldo hilo ni swala lingine. Messi ni mchezaji hatari sana alafu Ronaldo ni mchezaji machachari hapa lazima ieleweke vema. Unajua statitistics ndizo zinazopaswa kupewa nafasi zizungumze kwa kiasi kikubwa japo tunahitaji kuzi-supplement na mawazo yetu ili kumalizia analysis iliyotukuka. Nafkiri kwa sasa Messi yuko katika nafasi nzuri ya kutwaa Ballon d'or!
No doubt the answer is Messi. However,It would have been better if you provided us with the number of matcheses each played so that we can calculate the average scoring rate for each.
acha ushamba,messi ni mchezaji mzuri kwenye kuvunja rekodi lkn hawez shinda hiyo tuzo coz hana hivyo vigezo vinavyohitajika kushinda tuzo ukilinganisha na ronaldo aliyeisaidia timu yake ya taifa na madrid kupata mafanikio msimu uliopita,kama ni kufunga magori tu hicho si kigezo coz ronaldo alifanya hivyo msimu ambao messi alishinda hiyo tuzo mara ya mwisho.
Ronaldo ni mchezaji mzuri bahati mbaya amezaliwa katika kizazi cha Messi. Hapa ubishi tuweke mbali Messi hana wa kulinganishwa naye dunia hii kwa sasa.Messi ni zaidi ya kipaji.
kufunga magoli mengi sio kigezo cha kua mchezaji bora wa dunia ila ni kipaji kinacho kwenda sambamba na mchango wa mchezaji katika klabu na timu ya taifa jaribu kukumbuka wachezaji bora wa dunia kama kina Rud gulit ,geotge wheah ,robarto bagio , luis figo ,kaka, ronadnho na zizzou hawa enzi zao hawa kuwemo hata kwenye tatu bora za wafungaji wajuu katika ligi zao lakini mavitu yao yalitufanya tuamke sa 4:45 usiku kuangalia mechi za ligi ya mabingwa ulaya kitu ambacho sikuhizi sifanyi kutokana na kutokuwepo wachezaji wa kiwango kama hao jamaa wa zamani kuhusu massi na ronardo wote wana vipaji ila messi anabemwa sana na kiwango cha timu yake ya barca ilichonacho hivi sasa ,ukitaka kumjua kidogo messi alivyo hana 'plan B' kumbuka ila mechi ya klabu bingwa ulaya katika hatua ya mtoano kati ya BARCA NA MAN katika msimu ambao MAN walicheza fainali na Chelsea Messi anikua kama Ortega yule muajentina mwingi wa chenga enzi za kina Batistuta messi alikua akipiga chenga nyingi zilizo kua hazina msaada lakini tangia wale vingo pacha wa barca wawe kwenye form messi amekua noma kwahiyo ilikumjua vizuri messi tusubiri siku atakapo kua timu nyingine (mwaka huu ronaldo anastahili ushindi sababu alichukua ligi alifika nusu fainali UEFA)
We shaffih kabla ya kutoa vitu vyako hapo juu, tupe vigezo vya mchezaji kuwa mchezaji bora wa dunia then hapo ndio tutajua nani anastahili, ila kiuwezo Lionel Messi ni mzuri sana kuliko C. Ronaldo, Hv mfano Canavaro alistahili kuwa mchezaji bora ya duniani kama mbele ya Dinho na Zizu? kwa hivyo vigezo vyako vya kuangalia uwezo binafsi?
nilichogundua ni kwamba watu wanatumia ushabik kuzungumzia mambo ya soka.tukumbuke ukiwa mwanasoka unapaswa ushabik uuweke pemben.ss ukija kwenye suala hil messi anadeserve kabisa kuliko ronaldo.ila ukibisha subiri januar utapata jibu
Hilo liko wazi kabisa,wala halina ubishi,wasifu wao ni jawabu tosha kabisa wala hakuhitaji maelezo zaidi..MESSI..
ReplyDeleteMessi, no doubt about that.
ReplyDeleteme nampa Ronaldo kwani, usiangalie takwimu tu japo mess anamzidi ronaldo ila angalia uwezo wa mtu kwani wachezaji wa Barca si kama wa madrid, hivyo ronldo ana uwezo mkubwa kwani hana wachezeshaji kama mess, we chukulia uwezo wa kufunga alionao ronaldo angekuwa yuko barcelona, si angekuwa anatupia goli 4 kila mechi
ReplyDeleteUnajua kwenye kila kitu cha zaidi upatikana kwa kulinganisha. Ronaldo ni mchezaji hatari ukimlinganisha na wachezaji wengine duniani ila kama utamlinganisha Messi na Ronaldo hilo ni swala lingine. Messi ni mchezaji hatari sana alafu Ronaldo ni mchezaji machachari hapa lazima ieleweke vema. Unajua statitistics ndizo zinazopaswa kupewa nafasi zizungumze kwa kiasi kikubwa japo tunahitaji kuzi-supplement na mawazo yetu ili kumalizia analysis iliyotukuka.
ReplyDeleteNafkiri kwa sasa Messi yuko katika nafasi nzuri ya kutwaa Ballon d'or!
No doubt the answer is Messi. However,It would have been better if you provided us with the number of matcheses each played so that we can calculate the average scoring rate for each.
ReplyDeleteacha ushamba,messi ni mchezaji mzuri kwenye kuvunja rekodi lkn hawez shinda hiyo tuzo coz hana hivyo vigezo vinavyohitajika kushinda tuzo ukilinganisha na ronaldo aliyeisaidia timu yake ya taifa na madrid kupata mafanikio msimu uliopita,kama ni kufunga magori tu hicho si kigezo coz ronaldo alifanya hivyo msimu ambao messi alishinda hiyo tuzo mara ya mwisho.
ReplyDeleteRonaldo ni mchezaji mzuri bahati mbaya amezaliwa katika kizazi cha Messi. Hapa ubishi tuweke mbali Messi hana wa kulinganishwa naye dunia hii kwa sasa.Messi ni zaidi ya kipaji.
ReplyDeletemagoli 91 Assists 25 Kikombe cha Mfalme
ReplyDeleteMagoli 63 Assists 13 La Liga! hahahahaah
hapa hakukutakiwa kauli chafu jamani......team ya taifa ameisaidia kuipeleka wapi? anyway bs mchezaji bora etoo sababu anategemewa kwao
ReplyDeletetuache unafki messiah ni bora maradufu ya crist ron
na kwa mtazamo wangu ron ndio mcmu wake wa mwisho huu kuingia top 3 balon d or
kufunga magoli mengi sio kigezo cha kua mchezaji bora wa dunia ila ni kipaji kinacho kwenda sambamba na mchango wa mchezaji katika klabu na timu ya taifa jaribu kukumbuka wachezaji bora wa dunia kama kina Rud gulit ,geotge wheah ,robarto bagio , luis figo ,kaka, ronadnho na zizzou hawa enzi zao hawa kuwemo hata kwenye tatu bora za wafungaji wajuu katika ligi zao lakini mavitu yao yalitufanya tuamke sa 4:45 usiku kuangalia mechi za ligi ya mabingwa ulaya kitu ambacho sikuhizi sifanyi kutokana na kutokuwepo wachezaji wa kiwango kama hao jamaa wa zamani kuhusu massi na ronardo wote wana vipaji ila messi anabemwa sana na kiwango cha timu yake ya barca ilichonacho hivi sasa ,ukitaka kumjua kidogo messi alivyo hana 'plan B' kumbuka ila mechi ya klabu bingwa ulaya katika hatua ya mtoano kati ya BARCA NA MAN katika msimu ambao MAN walicheza fainali na Chelsea Messi anikua kama Ortega yule muajentina mwingi wa chenga enzi za kina Batistuta messi alikua akipiga chenga nyingi zilizo kua hazina msaada lakini tangia wale vingo pacha wa barca wawe kwenye form messi amekua noma kwahiyo ilikumjua vizuri messi tusubiri siku atakapo kua timu nyingine (mwaka huu ronaldo anastahili ushindi sababu alichukua ligi alifika nusu fainali UEFA)
ReplyDeleteronaldo iz da best one......no more
ReplyDeleteWe shaffih kabla ya kutoa vitu vyako hapo juu, tupe vigezo vya mchezaji kuwa mchezaji bora wa dunia then hapo ndio tutajua nani anastahili, ila kiuwezo Lionel Messi ni mzuri sana kuliko C. Ronaldo, Hv mfano Canavaro alistahili kuwa mchezaji bora ya duniani kama mbele ya Dinho na Zizu? kwa hivyo vigezo vyako vya kuangalia uwezo binafsi?
ReplyDeletenilichogundua ni kwamba watu wanatumia ushabik kuzungumzia mambo ya soka.tukumbuke ukiwa mwanasoka unapaswa ushabik uuweke pemben.ss ukija kwenye suala hil messi anadeserve kabisa kuliko ronaldo.ila ukibisha subiri januar utapata jibu
ReplyDelete