Search This Blog

Monday, October 29, 2012

MJADALA: USHAHIDI WA PICHA ZA MNATO - TORRES NA IVANOVIC WALIONEWA AU REFA ALIKUWA SAHIHI???

ijpKX0GGgoAMX GIF. Branislav Ivanovic red card v Manchester United
KADI NYEKUNDU YA IVANOVIC - JE NI SAHIHI???


1351444900890

TORRES RED CARD

1351445481191 GIF: Another angle on Fernando Torres second yellow v Manchester United

11 comments:

  1. Kadi zote mbili zilikuwa sahihi. Refa alichezesha fair.

    ReplyDelete
  2. hajaonewa mtu hapo, taklin from behind ni straight red card, kudive ya torres ana deserve yelow an tayari alishakuwa na yelow nyingine wat uexpect?

    ReplyDelete
  3. kadi ile ya Tores haikuwa halali kabisa! mimi sio mshabiki wa chelsea lakini ninachokisema ni kwamba there is something wrong with referies when manchester is playing with any other club! wamekuwa wanaegemea sana upande wa man u!
    ROBERT PETER SANGAWE.

    ReplyDelete
  4. Kwa upande wa IVANOVIC nae alionewa kabisa kwani yule mchezaji wa Man u alijiangusha kabisa kama uliangalia vizuri mechi ile. Kwa kweli itabidi FA wawe makini wakati timu yeyote pinzani inaopkutana na man u
    Nashukuru sana Shaffih kwa ushuhuda wa picha hii kwani hata mashabiki wa man u watajionea wenyewe ushuhuda huo!
    ROBERT PETER SANGAWE

    ReplyDelete
  5. I wonder! hivi kweli watu hawaoni. picha inaonesha wazi kuwa Ivanovic hakumkwatua isipokuwa Young alijaribu kujigongesha mguu wa kulia na kujiangusha. Aidha Issue ya Torres kulikuwa na slight contact ambayo refa hakupaswa kumsulubu Torres.

    ReplyDelete
  6. Km toress alideserve red card, bac young 2ngemshuhudia akiwa wa kwanza kupewa kadi hata njano. refa alibugi xana na ndo maana neville alimclash juu ya uamuz wake.... anastahili kufungiwa,alijichanganya mno, mikel alipaswa kupewa red ila aliambulia valencia wakati alifanyiwa faul,rooney pia alimkwatua hazard na alikuwa na yellow lakini akaachwa.

    ReplyDelete
  7. Toress ameonewa coz ukimtazama vizuri evans kwa namna alivyokuja kumkabili toress hakuwa na nia nzuri, kujiami namna alivyokuja beki na speed aliyokuwa nayo kukampelekea tores akose balance na kuanguka chini, ila ivanovic ni halali coz alikuwa last defender. But tujiulize mbona wachezaji wa man u wakijiangusha hawachukuliwi hatua yoyote wanapewa na advantage ya pelnat juu eg. ashley young.In general marefa & FA they are not fair to other clubs exclude Man u.

    ReplyDelete
  8. Wazee sijui kama tutafika mbali kama tutaendelea kupotosha watu kwa ushabiki wetu. Angalia kwa makini picha hizi. Hapa Torres anapata slight contact, Evans analala lakini kuonesha hataki kumdhuru angalia na uelekeo anavyolalia kushoto kwake huku Torres akiwa na Room ya kunegotiate kulia. Kinachotokea Torres anaona Rio ameishafika na anaona hawezi kuwahi mpira anajaribu PLAN B. Kama hii ingekuwa Yellow ya kwanza najua watu wote wasingeisemea hata kidogo ila kwa vile ni ya pili tena baada ya Red ya Iva. Kwa upande wa Iva aliishamlamba Young mguu wake wa kushoto akawa anaenda kuanguka na mguu uliobaki wa kulia ukapigwa pia. Sasa tatizo lipo wapi. Mimi nimekuwa nikiangalia mipira hii mara nyingi lakini mara nyingi Tim hizi zinapopambana kuna temper kubwa saana na mara nyingi Chelsea wanashindwa kuhimili temper ya gem. Kumbuka Champions League huko Urusi 2008. Drogba alipata Red card na gem haikuchezeshwa na waingereza. Angalia last season. Chelsea inaongoza 3-0. Wanacheza undava toka mwanzo hadi wanaleta penat mbili za haraka.

    ReplyDelete
  9. Duu kwa picha zote mbili, maamuzi ya referee ni ya kutatanisha, torres kadi ya pili hakustahili kwani mguu wa evans ulikuwa ni wakukusudia kuumiza sii kuzuia mpira, na pili ivanovic alikuwa anajaribu kumkwepa young ili amzidi spidi kwa intention ya kuangalia mpira ila sii kumkwatua. young akajigongesha kwake.

    ReplyDelete
  10. Guys acheni biasness kwenye ishu ambayo inaonekana wazi.. angalia vizuri mguu wa kushoto wa young wakati ivanovic anahama kushoto mwake kwenda kulia miguu iligongana na inaonekana wazi... sasa hapa tumewekewa video tuone lkn watu mnabisha.... naomba mto anionyeshe contact ya torres na evans hapa....

    by mdau JULIUS MAMIRO

    ReplyDelete
  11. Unajua mda mwingine unatakiwa kuangalia matukio na ujilizishe then comment inafata na tuache mausshabiki yetu ambayo hayana msingi....ni kama two o three weeks apa kocha wa stock city alijaribu kuwaelezea wachezaji wa chelsea jinsi wanavyojiangusha na hii imejionyesha. muangalieni torres na speed ya ule mpira na pia alianguka baada ya hatua ya ngapi pia, alichofanya huyu bwana kwanza ni kumdanganya refa na pili kwa kuwa aliona mpira hasingewai ndiyo akatumia plan be ambayo ilimpatia kadi ya pili ya njano.

    ReplyDelete