Leo ngoja nilitoe.... Natamani SIMBA SPORTS CLUB waweze kuondokana (to get rid of) na OKWI, kiukweli namuona akielekea au tayari kuwa juu ya mashabiki na timu kwa ujumla, naona Uongozi (Hata wanachama na mashabiki) wakitumia rasilimali nyingi sana kuhakikisha huyu mchezaji anaendelea kuitumikia timu yao, ni kama vile sio muajiriwa wa SSC (alijisemea Ismail Mohamed kuwa OKWI ni mchezaji wa Bonanza). Nakubali ni mchezaji mzuri, lakini sidhani kama ni mzuri kuzidi timu ya SSC, cha msingi ni kumuuza na kupata pesa tu, na kwa jinsi nlivyochoshwa nae nipo tayari hata auzwe YANGA. I AM PERSONALLY TIRED OF OKWI. Samahani lakini
Mimi nadhani kaka hayo maoni yako yapelekwe wodi ya vichaa milembe...yani wewe ni mtambo hasa, na hii inaonyesha jinsi gani mdau kama wewe ulivyokuwa hujui soka...skiliza sasa!! Kama ni hivyo barcelona na madrid wangewauza messi na ronaldo, na wao waseme wamechoshwa,.eti umechoshwa!! Kha...okwi is the symbol of simba SC, every club has symbol, madrid it's ronaldo, barca it's messi, TP MAZEMBE it's tresor mputu mabi, and simba it's okwi.
ReplyDeleteHUYU NI MDAU WA YANGA IWEJE AWASEMEE WASHABIKI WA SIMBA?
ReplyDeletethink twice kk,na usibebwe na hisia okwi ni binadamu hayuko mtimlifu he can do anything at any time,bado tuna muhitaji na pengo lake linaonekana kupewa kadi nyekundu sio tatizo naamin hata ww unampenda mkeo au bf wako ila haina maana hakuuzi na wajawahi kukukosea so is like okwi binadamu wa kawaida 2 ktk sayari ya tatu hana huo usipecial unaohuhitaji just kaa and think twice anatakiwaa aonewe huruma cos wamemprovocal like any other human being aliyehuziwa lazima akasilike jua hilo na tambua hivyo that is life and must goes on,simba ni timu na sio mtu mmoja tutashinda na tutaendelea kushinda pasipo okwi,msamehe bure cos ni binadamu wa kawaida
ReplyDeletekaka tuondolee uyanga wako hapa hapa wewe unafikiri kavumbangu huyo. Okwi anastahili kwa kile anachofanya uwanjan nyinyi fikirieni jinsi ya kurudisha 5 okwi mwacheni ivyo ivyo
ReplyDeletekweli kAKA OKWI HAJUI MPIRA KWANZA ANAPIGIA UGOKONI
ReplyDelete