Juma Mgunda akiokolewa na polisi kuondoka uwanjani kwa amani baada ya mechi ya Bandari |
Mgunda ambaye alipewa kibarua cha kuifundisha Coastal Union kipindic ha kiangazi kilichopita amesema ameamua kujiuzulu kutokana na presha kubwa anayopewa mashabiki kiasi cha wengine kutishia usalama wake.
Mgunda ameiongoza Coastal katika mechi 3 za ligi, akishinda moja na wakitoa suluhu mechi mbili.
No comments:
Post a Comment