DK 90: Mpira unaisha hapa uwanja wa taifa, AZAM 2-1 AS VITA.Na hatimaye AZAM wanakwenda fainali.
DK 89: Mrisho Ngassa anaipatia Azam goli la pili baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa Salum Abubakar.
DK 68: John Bocco anaipatia Azam goli, na kufanya matokeo kuwa AZAM 1-1 AS VITA
DK 63: AZAM wanafanya mabadiliko anaingia Samir Haji,na mpaka muda huu Azam wanashambulia kwa kwa nguvu zote waweze kupata goli.
DK 56:Mrisho Ngassa anakosa Goli.
Second Half: Kipindi cha pili kinaanza hapa uwanja wa Taifa AZAM 0-1 AS VITA.Na AZAM wamefanya mabadiliko ameeingia Mrisho Ngassa.
DK 45: AS VITA wanatoka kwenye dakika 45 za kwanza wakiwa wamecheza mpira mzuri sana na wamefanikiwa kuitumia vizuri nafasi waliyopata kwa kufunga bao la kuongoza katika Dk ya 34.Azam inabidi wabadilike hasa kwenye safu ya ushambuliaji kwani wanashindwa kumalizia nafasi wazipatazo za kufunga goli hasa kwa Kipre Tchetche na John Bocco
DK 41: Mchezaji wa AS VITA anapewa kadi nyekundu na anatoka nje
DK 40: AZAM bado wapo nyuma kwa bao moja, timu zote zinashambuliana kwa zamu h
DK 34: AZAM 0 - 1 AS VITA
DK 34: AS VITA wanapata goli la kuongoza
DK 28: Kipre Tchetche anakosa goli.
DK 21 : Wachezaji wote wa timu zote mbili wanacheza vizuri
DK 14 :John Bocco anaipatia goli Azam lakini refa anasema ni Offside
DK 05: AZAM 0 -0 AS VITA
Kick Off: Mechi inaanza uwanja wa taifa Dsm - AZAM 0 - 0 AS VITA
BADO YANGA....!
ReplyDeleteHongera sana Azam FC kwa ushindi.
ReplyDeleteSalum Mbawalla
Mtibwa Sugar
HIV KWELI SHAFFIH DAUDA UTAKOSA PICHA ZA LEO HADI UWEKE VIKOSI VILIVYOPITA??KUWA UPDATED BANA
ReplyDelete