Search This Blog
Thursday, July 26, 2012
LIVE MATCH CENTRE: YANGA 1 - 0 APR - FULL TIME
DK 27: Mpira unaendelea na APR wanajitahidi kulishambulia lango la Yanga lakini ukuta wa jangwani umekuwa mgumu kufunguka.
DK 20: Yanga 1 - 0 APR
DK 13: Godfrey Taita anapewa kadi nyekundu kwa upande wa Yanga.
DK 10: Hamis Kiiza anafunga bao la kuongoza kwa upande wa Yanga.
DK 05: Kama ilivyokuwa kipindi cha pili, timu zinashambuliana kwa zamu, kwa kifupi game ipo balanced. Yanga 0 - 0 APR.
DK 1: Mpira unaendelea kwenye dakika za ziada 120.
FULL TIME: Yanga 0 - 0 APR
DK 85: Rashid Gumbo anaingia na anatoka Shamte Ally.
DK 80: Yanga 0 - 0 APR
DK 70: Mpira umebadilika Yanga wanalisakama kwa nguvu lango la APR katika dakika hizi, lakini milango ya timu zote bado ni migumu.
DK 65: Said Bahanuzi anabaki na kipa na kukosa goli la wazi kabisa kwa upande wa Yanga
DK 63: Taita anakosa goli la wazi hapa kwa upande wa Yanga.
DK 60: Timu zote zinashambuliana kwa zamu, ingawa APR wanaonekana kumiliki zaidi mpira. Yanga 0 - 0 APR
55DK 50: Yanga 0 - 0 APR
DK45: Kipindi cha pili kinaanza - Yanga 0 - 0 APR
DK: Mpira ni mapumziko na timu zote zikitoka milango yako ikiwa ni migumu. APR wamecheza vizuri kuliko Yanga katika dakika 45 za kwanza, lakini Yanga nao pia wamepoteza nafasi kadhaa za kufunga. Mchezo bado upo 50/50 na timu yoyote itakayocheza vizuri kwenye kipindi cha pili inaweza kuibuka na ushindi.
DK 38: Taita anapewa kadi ya njano
DK 36:Kiiza anapewa kadi ya njano
DK 28: Ndikumana anakosa bao
DK 17: APR wanafanya shambulizi la kustukiza na nusura wafunge bao lakini umahiri wa kipa Barthez unawanyima bao la kuongoza.
DK 15: Hamis Kiiza anafumua shuti kali na linaokolewa na kipa wa APR.
DK 12: Timu zote zinaonekana kucheza kwa kusomana huku zikishambulia kwa uangalifu mkubwa. Yanga 0 - 0 APR
DK 5: Yanga 0 - 0 APR
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Juma Abdul - 14
3.Oscar Joshua - 4
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' (C) - 23
5.Kelvin Yondan - 5
6.Athuman Idd 'Chuji' - 24
7.Godfrey Taita - 17
8.Haruna Niyonzima - 8
9.Said Bahanunzi - 11
10.Hamis Kiiza 'Diego' - 20
11.David Luhende - 29
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuna shutuma nyingi sana facebook kuwa unawatoa wapenzi wa yanga kwenye group yako ya sports extra!! ni kwaa nini unafanya hivyo?? nilidhani hiyo group ulianzisha ili kusikia maoni ya watu mbali mabli kuhusu michezo!!?? sasa iweje wanapokupinga hoja zako unawatoa?? najua hutapost comment hii lakni msg sent.
ReplyDeleteKweli kabisa umesema kitu cha ukweli
ReplyDeleteTatizo la wapenzi wa soka la bongo nikutokupenda ukweli, wakisha elezwa ukweli ndo wanaanza kupost comments za kijinga na kishabiki. Nakuunga mkono asilimia 100 Shaffih, haina maana kupost ujinga ktk group yako na ww tutakuona mjinga. Achana na watu wamizengwe, tunataka soka lisonge sio majibizano yasiyo na mpango.
ReplyDelete