Search This Blog

Wednesday, July 11, 2012

HIVI NDIO VIINGILIO VYA MECHI YA SIMBA NA AZAM FC KESHO TAIFA

Zikiwa yamebaki masaa yasiyopungua 24, viingilio vya mchezo wa fainali ya kufa mtu kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC ya michuano ya Urafiki Cup - viingilio vya mechi hiyo itakayofanyika uwanja wa taifa kuanzia saa 1 usiku vimetajwa.


VIP A - 30,000, VIP B - 20,000, VIP C - 15,000, ORANGE STANDS - 10,000, BLUE AND GREEN STANDS - 5,000.


Tiketi zinauzwa kwenye maeneo yafuatayo Mwenge Stand, Kariakoo Sokoni, Benjamini Mkapa Shule, Big Bon Mbagala, Ubungo Terminal, Steers na Uwanja wa Taifa.

2 comments:

  1. Kwa mtazamo wangu malahi ni jambo muhimu sana kwenye biashara yoyote hasa kama yanaendana na lengo kuu la uanzishwaji wake. Hawa jamaa wameamua kuhamishia mechi hii kuja bara kwa sababu za kimaslahi huku wakisahau lengo la uwepo wa yale mashindano.

    Wazanzibar tunaikosa fainal ya timu mbili mashuhuri kutokana na ubinafsi na choyo ya baadhi ya viongozi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alafu wa Zanzibari hawajatendewa haki kabisa! Wamehudhuria mechi za awali vizuri tu lakini wananyimwa uhondo wa fainali na watu wachache wanaopenda pesa zaidi kuliko kitu chochote.

      Delete