Search This Blog

Tuesday, June 19, 2012

SHERIA YA OFFSIDE INASEMAJE KTK TUKIO HILI ?

5 comments:

  1. haikuwa off side kwa sababu mpira ulikuwa unamuelekea iniesta ambaye wakati mpira unafika kwake hakuwa off side na Jesus Navas aliwaacha mabeki wakiwa wamesimama hakuwa kwenye eneo la off side kwa maana ya kutohusika na mpira wa kwanza na hakuwa kwenye sehemu ya kuinfluence mchezo wala kuzuia jinsi goalkeeper alivyokuwa anautazama mpira hivyo na yeye hakuwa off side

    ReplyDelete
  2. Huyo jamaa aliyefunga ameotea hakutakiwa kupewa pass ya mwisho.

    ReplyDelete
  3. kama ukitazama vizuri hata iniesta alikua taari kashaotea kabla hajapata pass....

    ReplyDelete
  4. no offside the scorer was square with the passer. Remember Mboma-Etoo a few years back...

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni off side kwani kwani jamaa aliyefunga ndio alikuwa off side baada ya kupewa pass. Lakini kabla ya kupewa pasi hakuwa off side kwani mpira haukuelekezwa kwake.

    ReplyDelete