Search This Blog

Tuesday, June 19, 2012

CHEMSHA BONGO:UNAHISI BALOTELLI ALIKUA ANATAKA KUZUNGUMZA MANENO GANI?

Beki Leonardo Bonucci akimziba mdomo mshambuliaji Mario Balotelli asizungumze chochote mara tu baada ya kufunga bao la pili na ushindi kwa Italia hapo jana kwenye mchezo dhidi ya Jamhuri ya Ireland.

1 comment:

  1. matusi tu hapo yalikuwa yanafuatwa na kwann kocha alimuweka benchi mda wote

    ReplyDelete