Search This Blog

Tuesday, June 19, 2012

GOLI LA SIKU: MWANGALIE SUPER MARIO 'KICHAA' BALOTELLI ALIVYOWAONDOA KINA OSHEA KWENYE EURO

2 comments:

  1. Uyo ndo Balo magoli teli,,daah yuko sawa jamaa.

    ReplyDelete
  2. Namshukuru sana jamaa aliyemziba baloteli mdomo kwani alikuwa anaenda kukinukisha kwenYe benchi la Italy, nafikiri alikuwa anaenda kumwambia Kocha fanya sub sasa unitoe tena, alikuwa na hasira kichizi ila Kocha alifanya vibaya kumweka benchi kwani moja kwa moja ilijenga picha kana kwamba yeye baloteli ndio chanzo cha ubutu wa safu yao ya ushambuliaji, japo kocha alikuwa na nia nzuri ila I can understand balloteli anger.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete