Fc Schalke 04 7 mgongoni pamoja na ul inasomeka bila shaka herufi za mwanzo zitakuwa ra hivyo huyo ni raul branco gonzalez a goal scoring machine bila shaka hiyo ni gemu yake ya mwisho aliyoichezea schalke 04 nyumbani kwani aada ya miaka miwili ya mafanikio hataendelea kuwaburudisha wapenzi wa Arena AufSchalke(Veltins-Arena).Kuheshimu mchango wake Fc Schalke wameamua kuipumzisha jezi nambari 7 kwa muda.
Mkuu hilo jembe Raul,Na hapo alikuwa akiwaaga mashabiki kwenye mechi ya mwisho ya yeye kucheza kwenye uwanja wa nyumbani akiwa na jezi ya FC SCHALKE kwani gemu ya kumaliza ligi watakuwa away, na aliwaaga vema mashabiki kwani kwenye ushindi wa bao 4 walizopata siku hiyo na yeye alitupia kambani moja.Sijui anaelekea wapi huyu jamaa baada ya hapo kwani amekataa dili kubwa tu ya kuongeza mkataba na hao wajerumani kwa kiwango alichoonyesha wakati yupo Bundesliga nimeshindwa kuelewa kwanini Madrid walimuacha akaondoka. Kila la kheri Raul Gonzalez. Mdau Mike.
Huyo ni Raúl González wa Fußball-Club Gelsenkirchen-Schalke 04. Hapo yupo na watoto wake aliowazaa na mkewe Mamen Sanz walioowana 1999 na kujipatia wavulana wanne na msichana mmoja: Jorge (jina kwa heshima ya Jorge Valdano); Hugo; mapacha Héctor na Mateo; pamoja na msichana pekee María
Raul Gonzalez huyo......
ReplyDeleteFc Schalke 04 7 mgongoni pamoja na ul inasomeka bila shaka herufi za mwanzo zitakuwa ra hivyo huyo ni raul branco gonzalez a goal scoring machine bila shaka hiyo ni gemu yake ya mwisho aliyoichezea schalke 04 nyumbani kwani aada ya miaka miwili ya mafanikio hataendelea kuwaburudisha wapenzi wa Arena AufSchalke(Veltins-Arena).Kuheshimu mchango wake Fc Schalke wameamua kuipumzisha jezi nambari 7 kwa muda.
ReplyDeleteMkuu hilo jembe Raul,Na hapo alikuwa akiwaaga mashabiki kwenye mechi ya mwisho ya yeye kucheza kwenye uwanja wa nyumbani akiwa na jezi ya FC SCHALKE kwani gemu ya kumaliza ligi watakuwa away, na aliwaaga vema mashabiki kwani kwenye ushindi wa bao 4 walizopata siku hiyo na yeye alitupia kambani moja.Sijui anaelekea wapi huyu jamaa baada ya hapo kwani amekataa dili kubwa tu ya kuongeza mkataba na hao wajerumani kwa kiwango alichoonyesha wakati yupo Bundesliga nimeshindwa kuelewa kwanini Madrid walimuacha akaondoka.
ReplyDeleteKila la kheri Raul Gonzalez.
Mdau
Mike.
Huyo Ni Raul Gonzales By Imaad
ReplyDeleteDevid Beckham
ReplyDeleteHuyu ni Raul Gonzales, kudadadeki amezaa anastahili kustaafu.
ReplyDeleteRaul Gonzalenz
ReplyDeleteRaul Gonzalenz
ReplyDeleteRaul Gonzalez Blanco
ReplyDeleteBebeto.
Raul
ReplyDeleteHuyo ni Raúl González wa Fußball-Club Gelsenkirchen-Schalke 04.
ReplyDeleteHapo yupo na watoto wake aliowazaa na mkewe Mamen Sanz walioowana 1999 na kujipatia wavulana wanne na msichana mmoja: Jorge (jina kwa heshima ya Jorge Valdano); Hugo; mapacha Héctor na Mateo; pamoja na msichana pekee María
Huyu ni raul gonzalez. Akiwa katika msimu wake wa mwisho katika club ya shalke 04.
ReplyDeleteHuyo Ni Raul Gonzalenz Blanco... Akiwa Na Familia Yake...
ReplyDeleteMimi Mdau Mkubwa Wa Hii Blog.... Antary wa Malmo Sweden
RAUL
ReplyDeleteRaul Gonzalez a.k.a RAUL de MADRID
ReplyDeletethe man himself raul blanco......
ReplyDeleteRaul Gonzalez Blanco
ReplyDelete