Search This Blog

Tuesday, April 17, 2012

TANZANIA NCHI PEKEE AMBAYO VITUKO HAVIISHI,KILA SIKU NA JIPYA!!!!!


8 comments:

  1. duuu ucpimeeeeeee kabisa!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Dah kweli soka bongo burudani, halafu hiyo ngoma imepigwa shamba la bibi dar niambie huko Nanvua Singida inakuwaje si ndiyo yale mambo mchezaji anaitwa weweeee namba mwenye namba 25 weweee eeeeh njoo unabadilishwa.
    Ila nilishawahi kuona Sheikh Amri Abeid arusha mchezaji ametolewa akavua soksi kumpa anayeingia jamaa hakuna na soksi hiyo live kwa macho yangu, nilijuta.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  3. Tunatia aibu kwa kweli...

    ReplyDelete
  4. Tunakoelekea itakua aibu zaidi, next time watatamka kwa mdomo, "Anatoka nambari 12 anaingia nambari 25!"

    ReplyDelete
  5. hivi vile vibao vya digital bei gani?

    ReplyDelete
  6. Hadi na hili TFF wanasubiri wanunuliwe na mdhamini??? Hivi yale mamilioni ya mapata ya viingilio wanashindwa kuboresha vitu kama hivi??

    Anyway, mdogo mdogo tutafika tu.

    de Bebeto.

    ReplyDelete
  7. YA ZAMANI SANA HII,ENZI ZA SHAMBA LA BIBI

    CARLOS M

    ReplyDelete
  8. Anonymous Apr 16, 2012 03:30 PM, umeua mbavu sina!

    Lakini sijaona ligi zenye vituko kama ligi zile za amerika kusini.
    Siku fulani huko brazil kuna timu ilishinda. Basi kuna mchezaji wa hiyo timu iliyoshinda akawa anapoteza muda kwa kuzungukazunguka na mpira hadi kwenye kibendera kwa madoido.

    Baada ya kuona hivyo mashabiki wa timu iliyofungwa walishuka dimbani na kuanza kumtimua mbio yule mchezaji wakidai anachelewa mpira wakati timu yao inataka kurudisha mabao!

    ReplyDelete