Search This Blog

Monday, April 16, 2012

NANI KUIBUKA GOLIKPA BORA WA MSIMU ENGLAND: DAVID GE GEA VS JOE HART

Baada ya kuanza vibaya kuitumikia klabu yake ya Manchester United, David De Gea sasa ameweza kuwatoa nishai wakosoaji wake waliompachika jina la flop muda mfupi baada ya kujiunga na United, baada ya sasa kuwa mmoja kati ya makipa wawili ambao wanaongoza mbio za kuchukua gloves za dhahabu kama golikpa bora wa ligi kuu ya England. 


Mpaka sasa David De Gea haijaruhusu avu wake kuguswa kwa mara 11, akimfuatia golikipa wa Manchester City Joe Hart ambaye yeye hajaruhusu wavu wake kugusa kwa mara 13 mpaka sasa.


Mechi zimebaki nne kabla ya msimu kumalizika. Je De Gea atamfikia Joe Hart na kumpita ili kuchukua tuzo ya golikipa bora au Joe Hart atanyakulia tuzo hii kwa mara ya pili mfululizo.



HISTORIA YA MAGOLIKIPA BORA NCHINI ENGLAND TANGU MSIMU WA 2005

Season
Player Club Clean Sheets
2004–05 Czech Republic Petr Čech Chelsea 21
2005–06 Spain Pepe Reina Liverpool 20
2006–07 Spain Pepe Reina (2) Liverpool 19
2007–08 Spain Pepe Reina (3) Liverpool 18
2008–09 Netherlands Edwin van der Sar Manchester United 21
2009–10 Czech Republic Petr Čech (2) Chelsea 17*
2010–11 England Joe Hart Manchester City 18
* Pepe Reina also managed 17 clean sheets in the 09-10 season but Cech was awarded the Golden Glove due to a better clean sheets to games played

1 comment:

  1. Shaffii are you serious? Putting de Bea over sczeny???come on bro we all know you are a man u fan but that's toooooooo much...no doubt h art is the best in EPL at the moment but the arsenal keeper must come second.am a spurs fan n I hate arsenal but please putting de gea over sczeny is ridiculous

    ReplyDelete