TAARIFA NILIZOZIPATA HIVI PUNDE RAIS WA TFF LEODGAR TENGA AMEWAITA VIONGOZI WA VILABU VYA SIMBA,YANGA NA AZAM ILI KUKAA CHINI NA KUJADILI SAKATA LINALOENDELEA JUU YA MFUMO UNAOSTAHILI KUIENDESHA LIGI KUU YA TANZANIA BARA.
LAKINI VIONGOZI HAO WAMEKATAA WITO HUO NA KUSISITIZA MSIMAMO WAO WA KUJIBIWA MAMBO YAO WALIOWASILISHA TFF JUU YA LIGI YA MSIMU UJAO IENDESHWE NA KAMPUNI HURU AMBAYO ITAUNDWA NA VILABU VYA LIGI KUU.
I see the light at the end of the turnel!
ReplyDeleteSafi sana.TFF WANATAKA KUVINYONYA VILABU TU
TFF wababaishaji hawana jipya kila wala wanavinyonya vilabu kwenye mapato yaviingilio,kiwanja kinaenea watazamaji ila hesabu yake sasa,
ReplyDeletehawana jipya VIONGOZI WAMEFANYA VIZURI KUSUSIA WITO!