Mlimbwende aliyesomea usista kwa muda wa miaka Mitano ambaye alikuwa na ndoto za kuishi maisha ya kitawa (SISTA) ashinda miss world 2011
Miss Venezuela, Ivian Lunasol Sarcos Colmenares,aliwashinda washiriki wengine kutoka nchi 113 na kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia jana mara baada ya kuwaridhisha majaji katika mashindano hayo kwa kufanya vizuri katika categories zote start with beach beauty, top model, talent, sports, and beauty with a purpose - where the contestants must demonstrate involvement in a charity project.
Ms Sarcos Colmenares, Mwenye umri wa miaka 21,ni yatima (at young age) aliyetoka familia yenye watoto 13 na alitumia muda miaka mitano kusoma usista kutimiza ndoto yake ya kuishi maisha ya kitawa, maisha yake yalichukua mwelekeo tofauti baada ya kupata degree in human resources na kufanya kazi katika shirika la utangazaji kabla ya kushinda taji la miss Venezuela
Miss Venezuela alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi katika fainali hizo zilizofanyika katika ukumbi wa Earls court, Hakuamini pale alipotangazwa mshindi katika mashindano hayo yanayojulikana zaidi duniani na akaahidi kutumia ushindi wake kuwasaidia watu duniani.
She said: 'Winning means everything to me and I hope to take advantage of being a winner in a productive manner. I’m unbelievably happy to have won and there are some incredible girls. I first and foremost want to help people in need. I would like to help people like me. I am an orphan. I would also like to help the elderly and troubled teenagers. As many people as I can.
'Unfortunately I lost both my parents at a very young age which led me to study for five years in a nunnery. I spent my five years in there and my dream was to become a nun.
Shindano hilo lilishuhudiwa na Mabilioni ya watu duniani na Ushindi wa Pili na Watatu ulichukuliwa na Miss Puerto Rico na Miss Philippines, Mashabili ambao hawakuweza kufuatilia shindano hilo kwenye runinga zao waliweza kupata update toka mitandao ya face book na twitwer
Shindano la Mwaka huu lilikuwa na umuhimu mkubwa kwani miss world ilikuwa inatimiza miaka 60 na lilifanyika pale lilipoanzia, shindano la kwanza miss world lilifanyika mwaka 1951 London Uingereza.
Historia inaonyesha Japo shindano hilo limeweka zaidi umuhimu wa Mshindi kuwa mrembo , kwa sasa shindano hilo linahusu uelewa na akili za washiriki pia, kwa mara ya kwanza zaidi ya washiriki wote walikuwa wanasoma degree zao za kwanza, mmoja kati ya washiri wanne anaelimu ya chuo kikuu na zaidi ya Nusu ya washiriki wote wanazongumza zaidi ya lugha tatu.
Kwa Ushindi wake Miss Venezuela atatumia kipindi cha mwaka mmoja kushiriki miradi mbali mabali ya kujitolea ambayo inasaidiwa na Miss World's Beauty With A Purpose programme.
source . www.darbase.com
No comments:
Post a Comment