Asamoah Gyan amevunja ukimya juu ya uhamisho wake kutoka Sunderland na kukiri kuwa hela inampa furaha yote.
Mshambuliaji wa Ghana alimuudhi Black cats boss Steve Bruce kwa kuamua kwenda kwa mkopo kwa United Arab Emirates club Al Ain kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja baada ya kufungwa kwa dirisha la usajili.
Gyan, aliyekuwa akiongea katika uzinduzi wa jezi mpya za puma, anaaminika kuwa analipwa mshahara zaidi ya £100,000 per week – na klabu hiyo tajiri ya middle east wallipa ada ya uhamisho ya £6million kwa Sunderland.
Hali iliyopelekea kuzuka kwa hasira za Steve Bruce, ambaye hakufanikiwa kuziba pengo la Gyan na kupelekea kusema mchezaji huyo alikuwa amefuata pesa Uarabuni kwa kuamua kuondoka katika EPL.
Lakini hakiepuka kutoa visingizio kwa mashabiki wenye hasira wa Sunderland , Gyan amesisitiza kwamba ana majuto yoyte kwa kitendo alichofanya, kwa sababu amekifanya kwa sababu ya future ya familia yake, kupata utajiri na furaha.
Gyan pia alisema bado ana mahusiano mazuri na Bruce.
thanx for updates..ila kaka anae update ajue kutofautisha kati ya haya maneno...HANA na ANA? ni hayo tu
ReplyDelete