Vita ya Barcelona superstar Lionel Messi na Real Madrid forward Cristiano Ronaldo imeendelea kupamba moto baada ya katika listi ya wachezaji 23 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa ulaya in 2011.
Listi hii pia imekuwa dominated na kikosi cha Spain kilichoshinda kombe la dunia mwaka jana, kikitoa wachezaji 7, huku Uruguay mabingwa wa Copa America 2011 wakitoa wachezaji wawili.
Mshindi wa tuzo hiyo atatangazwa @ Zurich Kongresshaus on January 9, 2012.
Hii ndio listi listi kamili ya wachezaji 23.
Eric Abidal, Karim Benzema (France), Sergio Aguero, Lionel Messi (Argentina), Iker Casillas, Cesc Fabregas, Andres Iniesta, Gerard Pique, David Villa, Xabi Alonso, Xavi (Spain),
Cristiano Ronaldo, Nani (Portugal), Dani Alves, Neymar (Brazil), Samuel Eto’o (Cameroon), Diego Forlan, Luis Suarez (Uruguay), Thomas Muller, Mesut Ozil, Bastian Schweinsteiger (Germany), Wayne Rooney (England), Wesley Sneijder (Netherlands).
Pia imetolewa listi ya makocha bora wa ulaya mwaka huu na inaundwa na wafuatao.
Vicente del Bosque (Spain national team), Sir Alex Ferguson (Manchester United), Rudi Garcia (Lille), Pep Guardiola (Barcelona), Jurgen Klopp (Borussia Dortmund), Joachim Low (Germany national team), Jose Mourinho (Real Madrid), Oscar Tabarez (Uruguay national team), Andre Villas-Boas (Porto, Chelsea), Arsene Wenger (Arsenal).
Jaman mm sion nafac ya Wenger kama ni sahihi kuwepo hapa! Au naomba 2fahamshane!
ReplyDelete