Search This Blog

Tuesday, June 21, 2011

KALI YA LEO!!

Huko nchini Zimbabwe Mshambuliaji aitwae Elisha Banda aliyekuwa akichezea timu moja ya jeshi nchini humo alikutwa amelala hoi mtaani akiwa amefungwa kamba na mdomo wake umezibwa,alipoulizwa sababu nini akasema wachezaji wenzake wa timu yake ya jeshi walimkamata wakampiga na kumlisha madawa na kumpa mateso kwa muda wa siku nane kisa alikubali kusajili na timu ya kiraia!

Nashindwa kupata picha wachezaji wa JKT Ruvu wangemfanya nini Mwinyi Kazimoto kama ingekuwa hapa bongo!

No comments:

Post a Comment