Search This Blog

Monday, February 24, 2014

UONGOZI WA AZAM FC WAWAOMBA RADHI MASHABIKI KUTOKANA NA MATOKEO MABOVU..



12 comments:

  1. cna hof na azam but kaza buti mchukue ligi but wazee wa uturuki hawana lolote wale mnawapeleka pupa fasta tu pumzi inawapotea so kazen buti

    ReplyDelete
  2. Hii timu hsina muda mrefu inakufa, huwezibkuendesha timu isiyo na washabiki. This is poor investment, jamaa alikurupuka, labda angeenda kuanzisha kwao Pemba angalau Zanzibar

    ReplyDelete
  3. unasikia 5:57; jamaa mkakati wake mmojawapo ilikuwa kuchukua fursa zote za udhamini kwa kutoa kiasi sawa kwa timu zote akifikiri atawadhoofisha wazee wa uturuki lakini kajikuta bado anadhoofika mwenyewe tu! Hata mwakani hakuna lolote mtalolifanya!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. acha zarau na dua yako mbaya ikurudie mwenyewe nyie ndio mnaoua mpira nchi hii maana hamtaki upinzani tatizo la azam wana lundo la wachezaji ambao hawajitambue kama mpira ni kazi yao mm nashauri waachane na wachezaji mizigo wawaache waende yanga au simba na uongozi nao ujiangalie maana wengine hawana fani zakuendesha timu

    ReplyDelete
  5. Azam walifanya kosa kubwa kumwacha Stewart. Kwa sasa wanakutana na tatizo kubwa la "language barrier". Kocha anazungumza Kifaransa, kina Mkarimani antafsiri kwa Kiingereza, halafu Kally anatafsiri kwa Kiswahili! Hilo ni tatizo. Sijui kaka mafunzo ya kocha yanaeleweka sawa kwa wachezaji.

    ReplyDelete
  6. Azam ni tmu kubwa simba na yanga ni timu kongwe .ni timu yenye mipango makini sana .so wewe unaesema alichemka kuiyanzisha mawazo yako mafupi kama ya simba na yanga .leo hii timu ya taifa ya wanawake itacheza mchezo wake pale chamazi huoni hayo ni matunda ya kuanzishwa kwa azam ?.acha akili fupi wewe ......

    ReplyDelete
  7. Tatizo kubwa la Azam ni kocha mgeni pamoja na defence dhaifu.Stewart Hall alikuwa anatengeneza taratibu aina fulani ya soka pale chamazi ambalo lilihitaji upeo mkubwa wa soka kuweza kubaini nini alichokuwa amedhamiria hivyo alihitaji muda pengine wa miaka miwili zaidi kabla ya kuwa na kikosi cha kutisha Tanzania,Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.Kwa msingi huo ni vigumu kwa mafanikio ya kocha mpya kuonekana haraka hadi baada ya miaka miwili kwani anatakiwa kuanza upya kazi ambayo Stewart alikuwa amebakiza muda mfupi kuikamilisha.Nadhani makosa ya kumuondoa Stewart yanatokana na upungufu wa kiutawala wa soka pale Azam na hivyo ni wakati wa kujitathmini kwa ama kuongeza wataalam wanaokosekana katika safu ya menejiment ikiwemo Mkurugenzi wa Ufundi/football,Katibu Mkuu mtaalamu wa kuajiriwa na kuwaachia wataalam waongoze timu badala ya wanafamilia wa Bakhresa.Katika benchi la ufundi wanapaswa kutafuta kocha msaidizi mwenye uzoefu kutoka nje ya nchi kama Cedri Kaze wa Burundi nk.Azam pia wanatakiwa kutafuta kocha mpya wa makipa kama vile Razak Siwa wa Kenya.Kwa upande wa walinzi Azam wanapaswa kutaafuta kipa mmoja, mabeki wawili wa pembeni na mmoja wa katikati na kwa maoni yangu David Owino"Calabar" wa Gor Mahia, Shomari Kapombe,Abdi Banda,Isaac Isinde wa St George, Godfrey Walusimbi(Gor Mahia),Brian Majwega(Uganda) Salum Abdallah ( Mtibwa) na kipa Charles Mpanuki wa Rhino wanaweza kuwafaa

    ReplyDelete
  8. Suala la uwekezaji mkubwa katika timu lazima liende sambamba na uvumilivu na kutomuingilia kocha katika majukumu yake ya kiufundi.Chelsea na Real Madrid wameshajaribu sana uwekezaji kama huo wa Azam na kuajiri na kufukuza makocha wengi lakini bado hawakuweza kutawala ligi kuu ya England na ligi za Ulaya na hata walipofanya vizuri walikuwa na makocha wa kawaida kama Di Mateo

    ReplyDelete
  9. hiv ww unaesema ssb alikurupuka ni unaupeo mdogo wa kufkria ulitaka a invest wap?or ulitaka a invest kwnye sehemu zako unazotumia kukalia?ww hujui mpira jamaa kaona mbali sana yule mm nampongeza kwa kweli

    ReplyDelete
  10. Hii timu itakufa kama yakivyowashibda akina kajumlo, na dewji. Timu haina wapenzi

    ReplyDelete
  11. Kuwa na uwanja mzuri haina maana utakuwa na timu nzuri, hata ulaya ha wawekezaji wananunua timu ambazo zina mashabiki wengi, leo hii wangapi wananunua hata jezi ya azam? Mbeya city ni maarufu kuliko azam, na imekuwa ya tatu kwa mapato. Azam itakufa kama asante tololo, pan Africa, na nyota nyekunfu, cosmo politant. Huo uwanja watauuza tu, in fact uchumi wa kampuni ukiyumba inauzwa haraks, sasa hivi anaiendesha kwa hasara kubwa mno.

    ReplyDelete
  12. Azam akitaka kudumu , timu ihamie Zenji. Wengi mtakuja kumbuka uzi huu

    ReplyDelete