Jamani hivi mmesahau ile rufaa ya TP Mazembe waliyokata FIFA kupinga kuondolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa ya Afrika 2011 na nafasi yao kupewa Simba sc?Kamati ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (Disputes Resolution Chamber) mwaka 2012 iliamua kwamba Janvier Basela Bokungu alikuwa mchezaji halali wa TP Mazembe na CAF ilifanya makosa kuiondoa TP Mazembe katika mashindano hayo.Hata hivyo TP Mazembe haikufaidika na uamuzi huo kwa kuwa mashindano hayo yalikuwa yamekwishamalizika.Kwa hiyo hili sakata la Okwi lisiangaliwe kishabiki kwa kuwa hajauzwa bali mkataba uliokuwa hai (na Etoile)umevunjika wakati ule na Simba ulikwishamalizika pale alipouzwa Etoile na kuchezea timu hiyo katika mashindano rasmi(TFF kutoa ITC).kimsingi Okwi hakuwa anachezea Villa kwa mkopo bali kwa kibali cha muda wakati akitafuta timu nyingine
Hiyo sheria ya Wapi? Simba wao watawadai tu Etoile labda wawatumie Majembe Auction wakakamate mali zao na wauze kufidia pesa yao wanayodai.
ReplyDeleteJamani hivi mmesahau ile rufaa ya TP Mazembe waliyokata FIFA kupinga kuondolewa kwenye mashindano ya klabu bingwa ya Afrika 2011 na nafasi yao kupewa Simba sc?Kamati ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (Disputes Resolution Chamber) mwaka 2012 iliamua kwamba Janvier Basela Bokungu alikuwa mchezaji halali wa TP Mazembe na CAF ilifanya makosa kuiondoa TP Mazembe katika mashindano hayo.Hata hivyo TP Mazembe haikufaidika na uamuzi huo kwa kuwa mashindano hayo yalikuwa yamekwishamalizika.Kwa hiyo hili sakata la Okwi lisiangaliwe kishabiki kwa kuwa hajauzwa bali mkataba uliokuwa hai (na Etoile)umevunjika wakati ule na Simba ulikwishamalizika pale alipouzwa Etoile na kuchezea timu hiyo katika mashindano rasmi(TFF kutoa ITC).kimsingi Okwi hakuwa anachezea Villa kwa mkopo bali kwa kibali cha muda wakati akitafuta timu nyingine
ReplyDeleteLabda ndoto yako ingetuambia ni mara ya ngapi yametokea haya
ReplyDeleteToa usimba wako! Kagombee uenyekiti basi umtoe Rage
ReplyDeletendoto yako iko mbali sana na ukweli labda ulale tena leo uombe kuota labda kwa mara ya pili itareflect ukweli
ReplyDelete