Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini Francis Kifukwe amesema mpaka sasa bado wanafuatilia
hati kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wao na ndio sababu ya kukaa kinywa, kwani
licha ya hivyo bado wanahitaji eneo la nyongeza ili kufika heka 15 wakati wao
wanazo heka 3.5.
Alisema,
kutokana na wao kufuatilia kwa makini Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maendeleo na
Makazi waligundua kuwepo na deni la Kodi ya Ardhi sh mil 100 na
wameishafanikiwa kuzilipa mpaka sasa ambapo mpaka sasa wanasubiri Serikali ije
kufanya uhakiki zaidi ili waweze kupewa hati mpya.
Eneo lao hekari 3.5 wanahitaji 15 kwa nini wasitafute nje ya mji. Mikutano ya siasa na dini tufanyie wapi iwapo hadi vile viwanja vya wazi vimo ndani ya plan yao. Hakuna hatayekubali utatokea mgogoro mkubwa sio kila mtanzania anapenda mpira na yanga
ReplyDeleteHAPO INGEKUWA RAHISI ENEO LENU NDIO LINGEKUWA HEKARI 11.5 HALAFU MKAOMBA MUONGEZEWE HEKARI 3.5 MAANA TUJUAVYO CHA MWENYE KUHITAJI NYONGEZA HUWA NA KINGI YANI ANAKUWA KAPUNGUKIWA KIDOGO SANA ILA NYIE YANGA MNAONEKANA KAMA HAMNA KITU TU.
ReplyDeleteKama hauna cha ku- comment bora usiandike kuliko kuandika pumba zenu hizo. Yanga endeleeni na juhudi zenu msikatishwe tamaa na walevi.
ReplyDeleteKampigie mdosi magoti kisha kalale, Viwanja vile sahauni. kikorido cha kaunda kinawatosha
DeleteHiyo ndio sababu inayomfanya Manji aanze kuondoka mdogo mdogo kwenye mpira,alichotegemea anaona hakiwezekaniki,mhindi hafanyagi biashara kichaa,yani ateketeze hela zake hivi hivi tu,hakunaga,Hapo hata mpige magoti mnajisumbua,anamrudishie kifukwe timu yake aliyomkuta nayo apambane na kina mzimba na akilimali
ReplyDelete