Search This Blog

Wednesday, November 13, 2013

MJADALA: Ronaldo v Zlatan: NANI KATI YAO UNGEPENDA AENDE BRAZIL MWAKANI ?




Masupastaa wawili wa mchezo wa soka , wenye sifa ya kuwa wabinafsi na wajivuni wanaingia vitani wakiwa na timu zao za Taifa kuwania nafasi moja ya kwenda kombe la dunia mwakani nchini Brazil.
Je,ni nchi ipi kati ya Ureno ( Ronaldo  ) na Sweden ( Ibrahimovic ) ungependa iende Brazil Mwakani.

10 comments:

  1. sita kubali nimuone messi, ney mar, rooney na mastar wengne brazil alafu nisimuone christiano ronaldo brazil nahis itakua zambi kubwa na yeye mwenyewe anajua kabisa kama anataka uchezaj bora wa dunia lazma aende kule. By Edfredson

    ReplyDelete
  2. Tukiangalia upinzani katika michuano mikubwa URENO amekua mzuri pale anapokutana na timu kubwa mfano EURO alionyesha kiwango kizuri dhidi ya SPAIN , DENMARK na hata GERMAN lakini kwa upande wa SWEEDEN imekua ni timu ambayo inabebwa sana na Mchezaji mmoja '' IBRA'' kwahyo usitegemee itaonyesha upinzani mkubwa kwenye finali za kombe la dunia nchini BRAZIL na ningependa kuona PORTUGAL ikisonga mbele

    ReplyDelete
  3. Portugal wanakwenda

    ReplyDelete
  4. Napenda ureno iende lakn zlatan anajtuma sana kwenye timu ya taifa kuliko ronaldo so subr tuone

    ReplyDelete
  5. baba data Ronaldo Kwanza kadabla baadaye

    ReplyDelete
  6. RONALDO iz da best one.so da portogue must be ENTER IN

    ReplyDelete
  7. Aisee lazima cr7 atie kwato brazili

    ReplyDelete