Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo.
Kuhusiana na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji, endelea kutembelea mtandao huu. Taarifa zaidi zitakujia.
Uamuzi wa busara. Huyu jamaa alikuwa chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa Simba katika soka ya Tz.
ReplyDeleteKamati ya utendaji haina nguvu kikatiba kumsimamisha Mwenyekiti
ReplyDeleteafadhali...........................
ReplyDeletetumeumia sana................
Sasa mpira utachezwa simba, Rage aliigawa sana timu pamoja na wanachama. Alileta siasa nyingi na uswahili kibao bila matokeo kuonekana na kama engeendelea Simba hata nafasi ya nne isingeipata mwisho wa msimu!!
ReplyDeleteNasubiri kumsikiliza maestro kama leo ataweka unazi pembeni na kuitangaza habari hii au ndio walewale wa conflict of intereat
ReplyDeleteMi nasubiri Aden Arudi na apokelewe na wapambe wake Airport na Kutangaza Kuwafukuza wote waliomsimamisha (Yaani mzee Kinesi, Ibrahima, Hanspope na wengine).
ReplyDeleteSinema ndo kwanza imeanza, subiri tuone.
Bado naona wanachama wa timu zetu hawapo kwa ajili ya maslahi ya timu bali ni yao binafsi, Rage aliwapoteza kwenye mkutano mkuu na wao wakakubali. Lakini bado hawamtaki. Wawe na uamuzi mzuri. Tuvibadilishe vilabu vyetu vijiendeshe kisasa.