Mnamo mwezi wa tano mwaka huu Arsenal ilisaini mkataba na PUMA wenye thamani ya paundi milioni 30 kwa mwaka, mkataba wa sasa wa Arsenal na kampuni ya NIKE uliosainiwa tangu mwaka 1994 unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Picha juu iliwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa twitter na balozi wa PUMA Linford Christie
inamuonyesha Thierry Henry akiwa ndani ya uzi mpya wa Arsenal wa msimu wa 2014-15,wengine kwenye picha hiyo ni nyota wa sasa Bacary Sagna na Olivier Giroud.
No comments:
Post a Comment