Simba, Azam FC na Mbeya zinabaki kuwa timu pekee ambazo hazijapoteza mchezo katika ligi kuu ya VPL.
FT: Coastal Union 0-0 Simba
DK 90 Mpira umekwisha Yanga ikiondoka na ushindi wa mabao 3-0.
Dk 81 GOOOOO....! Kiiza anaipatia Yanga bao la tatu akimalizia pasi safi ya Ngassa. Yanga 3-0 Rhino.
Dk 77 SUB: Yanga inafanya mabadiliko ametoka David Luhende ameingia Oscar Joshua.
DDk 72 GOOOOO....! Frank Domayo anaipatia Yanga bao la pili akiunganisha pasi ya Ngassa. Yanga 2-0 Rhino.
k 70 SUB: Rhino wanafanya mabadiliko ametoka Hangaya ameingia Kamana Salum.
DK 75 uwanja wa mkwakwani bado hakijaeleweka, si Coastal wala Simba.
Dk 65 Nizar anamchezea rafu Hussein Abdallah.
Dk 59 SUB: Yanga wanafanya mabadiliko ametoka Msuva ameingia nizar Khalfan.
Dk 54 Kiiza anashindwa kuunga krosi safi ya Ngassa.
Dak 60: Coastal Union 0-0 Simba
Dk 52 SUB: Rhino wamefanya mabadiliko ametoka Iman Ndely ameingia Msafiri Hamisi.
Dk 47 YELLOW CARD..! Msuva anaonyeshwa kadi ya njano kwa kosa kujiangusha.
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 1 - 0 Rhino Rangers
Dk 45 HALF TIME! Yanga 1-0 Rhino - Simba 0 - 0 Coastal Union
Dk 43 Msuva anakosa bao la wazi baada ya kushindwa kumalizia pasi ya Ngassa.
DK 44' Coastal 0 - 0 Simba
DK 41' Coastal Union 0-0 Simba, 36' Yanga 1-0 Rhino Rangers (Kiiza 12')
Dk 31 Victor Hangaya wa Rhino anapiga shuti kali langoni kwa Yanga lakini kipa Deo Munishi anapangua mpira na Yanga wanaokoa.
DK 28' Coastal Union 0 - 0 Simba
Dk 27 YELLOW CARD....! Shija Mongo wa Rhino anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea rafu Ngassa.
Dk 26 Frank Domayo wa Yanga anachezewa faulo na Julius Masonga.
Dk 23 Msuva anaumia baada ya kugongana na beki wa Rhino.
Dk 22 Rhino wanacheza soka la kawaida mno na mara nyingi wanapoteza mipira. Yanga 1-0 Rhino.
Dk 21 Kiiza anakosa bao la wazi akishindwa kuunga krosi safi ya Msuva.
Dk 17 Juma Abdul wa Yanga anaumia na mpira unasimama kwa muda.
Kutoka Mkwakwani - Dakika 22: Coastal Union 0-0 Simba
Dk 12 GOOOOO.....! Hamis Kiiza anaipatia Yanga bao la kwanza akimalizia pasi safi ya Msuva. Yanga 1-0 Rhino.
Dk 7 Simon Msuva wa Yanga anaichambua ngome ya Rhino na kutoa pasi kwa Mrisho Ngassa lakini Ngassa anachelewa kuufikia mpira na mpira unaokewa.
Mpira umeanza uwanja wa taifa.
VIKOSI VINAVYOANZA
Rhino Rangers line up: Mahmud Othman, Ally Mwanyiro, Hussein Abdallah, Julius Masonga, Ladslaus Mbogo, Stanslaus Mwakitos, Shija Mongo, Imani Ndeli, Victory Hangaya, Saad Kipanga na Nurdin Bakari.
YANGA
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Juma Abdul - 12
3.David Luhende - 3
4.Mbuyu Twite - 6
5.Kelvin Yondani - 5
6.Rajab Zahir - 14
7.Saimon Msuva - 27
8.Frank Domayo - 18
9.Hamis Kiiza - 20
10.Mrisho Ngassa - 17
11.Haruna Niyonzima - 8
2.Juma Abdul - 12
3.David Luhende - 3
4.Mbuyu Twite - 6
5.Kelvin Yondani - 5
6.Rajab Zahir - 14
7.Saimon Msuva - 27
8.Frank Domayo - 18
9.Hamis Kiiza - 20
10.Mrisho Ngassa - 17
11.Haruna Niyonzima - 8
Subs:
1.Yusuph Abdul - 19
2.Oscar Joshua - 4
3.Athuman Idd 'Chuji' - 24
4.Nizar Khalfani - 16
5.Reliants Lusajo - 9
6.Jerson Tegete - 10
7.Didier Kavumbagu - 7
1.Yusuph Abdul - 19
2.Oscar Joshua - 4
3.Athuman Idd 'Chuji' - 24
4.Nizar Khalfani - 16
5.Reliants Lusajo - 9
6.Jerson Tegete - 10
7.Didier Kavumbagu - 7
Nlikuwa nkisubr rhino wasawazshe
ReplyDeleteAise uciombe kkutana na yanga hawarudii makosa piga paka kivuli ndugu cc ha2shangilii droo kawa libolo, yanga daima aise ngasa ni noma wanayanga wenzangu.
ReplyDeleteYanga wameongeza la Tatu update live score yako au hujapenda?
ReplyDelete