Nomba kutofautina kidogo na moja ya hoja ya Kocha Bahati. Ameeleza tabia ya mikoa kutaka kushindana na DSM ikawa ndiyo chanzo cha kupata viongozi wabovu TBF. Kwanza niseme, suala la timu za mikoani kushindana/kuweka upinzani mkali dhidi ya DSM kwa mtazamo wangu ni zuri. Kila mchezaji wa mkoani ndoto yake siku moja ni kuja kuchezea virabu vikubwa nchini kama Vijana , Savio, ABC nk. Sehemu pekee ya kuonesha uwezo wake ili aonekane ni kwenye mashindano hasa ya Taifa Cup. Hata viongozi/ makocha hujipanga hutaka kujipima uwezo wao na timu za DSM kwani ndiyo timu bora. Utajipimaje na Timu dhaifu?
Pili kuhusu upatikanaji wa viongozi bora hilo ni suala la demokrasia na mipango mizuri ya kuzingatia taratibu za uchaguzi. Siamini kama kuna mjumbe anaweza kumchagua kiongozi dhaifu eti kwasababu anatoka nje ya DMS. Sijui kwasababu sijawahi kushiriki uchaguzi huo, lakini ni wazi watu makini TZ katika kikapu wapo na wanajulikana.
Nomba kutofautina kidogo na moja ya hoja ya Kocha Bahati. Ameeleza tabia ya mikoa kutaka kushindana na DSM ikawa ndiyo chanzo cha kupata viongozi wabovu TBF. Kwanza niseme, suala la timu za mikoani kushindana/kuweka upinzani mkali dhidi ya DSM kwa mtazamo wangu ni zuri. Kila mchezaji wa mkoani ndoto yake siku moja ni kuja kuchezea virabu vikubwa nchini kama Vijana , Savio, ABC nk. Sehemu pekee ya kuonesha uwezo wake ili aonekane ni kwenye mashindano hasa ya Taifa Cup. Hata viongozi/ makocha hujipanga hutaka kujipima uwezo wao na timu za DSM kwani ndiyo timu bora. Utajipimaje na Timu dhaifu?
ReplyDeletePili kuhusu upatikanaji wa viongozi bora hilo ni suala la demokrasia na mipango mizuri ya kuzingatia taratibu za uchaguzi. Siamini kama kuna mjumbe anaweza kumchagua kiongozi dhaifu eti kwasababu anatoka nje ya DMS. Sijui kwasababu sijawahi kushiriki uchaguzi huo, lakini ni wazi watu makini TZ katika kikapu wapo na wanajulikana.