Search This Blog

Tuesday, September 3, 2013

USAJILI: MAROUNE FELLAINI ATAMBULISHWA RASMI MANCHESTER UNITED



13 comments:

  1. jembeee limetokelezea,i thnk ugeni wa viongozi wa maNu has boss mdogo 'Ghost man' ed wood ndo umechelewesha haya yt!2ngemuwahi kwa bei chee angeenda tour ndefu bt ol n ol timu we2 bd nzr sn...HONGERA ARSENAL KWA KULAMBA DUME 2LILITAMANI BALAA..macho man OZIL...

    ReplyDelete
  2. Hongera Manu na Arsenal kwa kulamba madume ya kazi

    ReplyDelete
  3. Karb jembeeee hapa magoli ya vichwa watatukoma

    ReplyDelete
  4. Nina wivuu na arsenal banaaaa daaah wamelamba dume.

    ReplyDelete
  5. Nina wivuu na asenali wamelamba dumeee

    ReplyDelete
  6. man u hawamuhitaji fellain. wanahitaji attacking mchezeshaji. fellain anapunguza kasi ya mchezo. .naona wapenzi wa manu. tunaanza ukurasa mpya

    ReplyDelete
  7. Kwanini namuunga mkono Moyes kumchukua Fellaini....

    Kwanza ni attacking midfielder anayejituma na anajua kuforce.
    Pili Man utd tulimhitaji kwa sasa kulingana na mchezo tunaocheza.
    Tatu uzoefu wake wa kuifahamu vilivyo premier league.
    Nne umri wake mdogo 25yrs na shape inayomruhusu kuwa na kasi pale anaposhambulia.
    Mwisho kabisa tutaanza kuyaona yale magoli matamu ya vichwa na kushtukiza tuliyoyamiss kwa muda mrefu.
    Lakini nikiwa kama shabiki nguli wa United bado timu yetu itakuwa ni ya premier league kwa muda wa misimu miwili na Champions league tukijitutumua sana labda tutafika nusu fainali msimu unaofuata na sio wa sasa!!!

    Wasalaam.

    ReplyDelete
  8. Huyu mtendaji wa man u ED wood hajui anafanyakazi gani pale sasa inakuaje man u tunafanya usajili wa presha ni aibu kwa kwel mimi sijapenda naanza kumkumbuka david gill na peter kenyon asee .ok ngoja nione timu yangu bado naiamini .

    ReplyDelete
  9. Ozil uchezaje wake haupishani na Kagawa,united wasimjutie sana Ozil bali wampe mda Shinji ili arudishe fitness yake ila tutatisha,Fellain,Rooney,RVP,Valencia.......!! Watatukoma

    ReplyDelete
  10. GLORY GLORY GLORY MAN UNITED.........HONGERA SANA DM KWA JITIHADA ZAKO.......KARIBU FELLAIN MAANA KWA KITAMBO KIREFU SANA NAKUHUSUDU......

    ReplyDelete
  11. Nakubaliana na (AnonymousSeptember 3, 2013 at 12:45 AM)

    Ozil hana kasi na humchukua muda kureact japo ni mchezaji mzuri lakini asingetufaa sababu wapo vijana wa aina yake tayari kambini.

    Japo sifurahishwi na mfumo wetu pia nikiwa sina imani na striker kama Danny Welbeck kwa; "kutokuwa na vigezo vya kuchezea timu kubwa kama United" lakini ninaimani Moyes kwa kufikiria kumdondosha Fellaini kundini kutasaidia kufunika mapengo hayo msimu huu.

    Uhusiano uliopo kati ya Moyes na Fellaini ndio unanipa imani kwasasa Fellaini atakuwa mchezaji anayemuelewa Moyes anataka nini vizuri na hili ndilo linaweza kutupatia two domestic cups this season.

    Kwa Champions league bado nasisitiza bado kidogo tunahitaji misimu miwili ya kujipanga na msimu huu target ni robo fainali alafu msimu ujao angalau tufike nusu na kulichukua kombe msimu unaofuata tukiwa na kikosi imara zaidi.

    Wasalaam.

    ReplyDelete
  12. fellain came at united at the right time, n aina ya mchezaji wa kipekee and he is more than OZIL interm of perfomance

    ReplyDelete
  13. Kwa hili nampongeza Moyes, kwani kuanza ligi vizuri c matokeo tu, ni kuwa na kikosi imara ambacho kitamaliza ligi vizuri. GLORY MAN UTD.....!

    ReplyDelete