Search This Blog

Tuesday, August 20, 2013

NIGERIA YATIA AIBU - WACHEZAJI WAKE WAFELI KIPIMO CHA UMRI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U17


Nigeria itacheza michuano ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 mwezi wa 10 mwaka huu baada ya wachezaji wake muhimu kufeli kipimo cha kutambua umri sahihi. 

Kikosi cha Nigeria, ambacho kilimaliza katika nafasi ya pili kwenye michuano ya mataifa huru ya Afrika 2013 nchini Morocco, kilifanyiwa vipimo vya MRI jijini Abuja ili kuweza kupata ukweli kwamba wana umri wa miaka 17 kuelekea michuano ya kombe la dunia kwa vijana wa umri itakayofanyika mwezi wa 10 huko Uarabuni UAE. 

Kufuatia tukio hilo, kocha wa Nigeria Manu Garba, amesisitiza bado ana kikosi kizuri cha kwenda kushindana pamoja na kuwapoteza muhimu waliofeli vipimo hivyo. 


No comments:

Post a Comment