Mpira umemalizika, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Salum Telela dkk 2
Young Africans wanatwaa Ngao ya Jamii
Dakika ya 80 Yanga bado wanaongoza.
Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Dakika ya 68, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Hussein Javu kuchukua nafasi ya Jerson Tegete
Dakika ya 60, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Salum Telela dkk 2
Dakika ya 42 mwamuzi wa pembeni Hamis Chang'alu anatoa maamuzi yanayoonyesha kuwachukiza mashabiki wa Yanga na wanamzomea sana.
Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Dakika ya 24, Young Africans inafanya mabadiliko anaingia Deogratius Munishi 'Dida' kuchukua nafasi ya Ally Mustapha 'Barthez' aliyeumia
Dakika ya 16 anaingia Mbuyu Twite kuchukua nafasi ya Kelvin Yondani aliyeshindwa kurejea kufuatia kupata maumivu
Dakika ya 16 anaingia Mbuyu Twite kuchukua nafasi ya Kelvin Yondani aliyeshindwa kurejea kufuatia kupata maumivu
Dakika ya ya 15, Young Africans 1 - 0 Azam FC
Dakika ya 10 ya mchezo Kelvin Yondani anapata majeraha, anatolewa nje kupatiwa matibabu
Dakika ya pili ya mchezo, Salum Telela anaipatia Young Africans bao la kwanza
VIKOSI VYA LEO
YANGA
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Juma Abdul - 12
3.David Luhende - 3
4.Kelvin Yondani - 5
6.Athuman Idd 'Chuji' - 24
7.Saimon Msuva - 27
8.Salum Telela - 2
9.Jerson Tegete - 10
10.Didier Kavumbagu - 7
11.Haruna Niyonzima - 8
YANGA
1.Ally Mustapha 'Barthez' - 1
2.Juma Abdul - 12
3.David Luhende - 3
4.Kelvin Yondani - 5
6.Athuman Idd 'Chuji' - 24
7.Saimon Msuva - 27
8.Salum Telela - 2
9.Jerson Tegete - 10
10.Didier Kavumbagu - 7
11.Haruna Niyonzima - 8
Subs:
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Mbuyu Twite - 6
3.Rajab Zahir - 14
4.Frank Domayo - 18
5.Nizar Khalfani - 16
6.Said Bahanuzi - 11
7.Hussein Javu - 21
1.Deogratius Munishi 'Dida' - 30
2.Mbuyu Twite - 6
3.Rajab Zahir - 14
4.Frank Domayo - 18
5.Nizar Khalfani - 16
6.Said Bahanuzi - 11
7.Hussein Javu - 21
kikosi cha zazm mbona hakuna
ReplyDeleteThanx for updates... Lakin muhusika we unaona Yanga tu hapo au? Kwasabab umeandika Vikosi vya leo halaf naona umetaja kikosi cha Yanga tu..
ReplyDeleteMbona line up ya Azam haujaweka au ndio unazi umepitiliza
ReplyDeletehuyo hata ukitoa maoni hayataki. hayapublish. yuko kwenye uzani kuliko uwazi wa habari. kama hautaki ukweli hauna haja ya kuwa na blog
ReplyDeletendo maana yake
ReplyDeleteHongera Shaffih kwa matokeo ya moja kwa moja, hata line up ya yanga tu inatosha kwani hata hao simba wanahitaji kujua ni kina nani wamecheza kwa upande wa yanga na si Azam
ReplyDeletecongrats Dar Young African for 1-0 against Simba B (Azam FC) for real you have shown us that your able
ReplyDeleteShafii umechemka ulioaswa kuweka line up zote if it'd real live mstch center
ReplyDeleteazam line up?
ReplyDeleteJamani mbona mnakariri. Shafii mwenyewe yuko kigoma ila blog linaendelea na kazi kama kawa hiyo line up inawakilisha timu zote maana ndo timu kubwaaa big up mleta taarifa
ReplyDeleteBwana Hugo, hiyo line up ya Azam waweza ipata endapo utataka, Yanga ndo kashinda na cyo habari coz ilijulikana b4, haya mengne ni uanzishaji wa malumbano tu.
ReplyDeleteEndapo mnajua Shaffih ana unazi kiukweli nadhan mcngekuwa mnatembelea blog yake.
Tuacheni kutoa hoja zczo na mashiko jaman, nani acyeijua line up ya Azam kwa game ya leo!
Shaffih,
ReplyDeleteHebu tuwekee klipu zenye movement, na hasa iliyozaa goli
Tukiacha unazi, nadhani YANGA walistahili kuwa mabingwa wa ligi mcm uliopita hata kuba ngao Jana. AZZAM ni timu nzuri pia na walistahili kumaliza nafasi ya pili msimu ulio pita, kama kwenye ligi yetu tungekua na timu 6 za uwezo kama AZZAM basi ligi yetu ingekua juu sana.pamoja sisi wapenzi wa YANGA hatuipendi AZZAM lkn tunatakiwa tubadilike, hawa jamaa wanaweza, na tusieachukie tukawapiga mizengwe isyo na maana hadi waone haina maana Kua na club ya soccer. Mm sasa hv napenda kuangalia mechi ya AZZAM na YANGA kuliko YANGA na SIMBA, maana YANGA na AZZAM ni ya burudani uwanjani. Hongereni YANGA na AZZAM kwa soccer safi ya Jana, mpira unachezwa uwanjani na sio mizengwe tuuu isyo na ulazima, I LUV YOUNG AFRICA. ALEX NGAI WA KINONDONI MKWAJUNI.
ReplyDelete