Manchester United kwa hakika ndio klabu ambayo inashabikiwa zaidi kwenye soka ulimwenguni, lakini pia inawezekana ndio klabu inayochukiwa zaidi pia.
Hili linaweza kutihibitishwa na mtu mmoja aitwaye George Atkinson, ambaye alihakikisha kupitia mfuniko wa kaburi lake kwamba dunia inatambua namna anvyoichukia klabu bingwa ya England.
Bwana huyu alifariki dunia mnamo mwaka 2005 na tayari alishatoa kauli ya (Ni bora niwe chini ya hapa kuliko kuwepo Old Trafford) ambayo aliagiza iwekwe kwenye mfuniko wa kaburi ikitokea amefariki dunia.
Atkinson inasemekana alikuwa ni shabiki wa Liverpool na hakuwa anaipenda United hata chembe.
shafii nani aliekudanganya manu wanaeashabiki wengi duniani. hizo ni takwimu za uongo za waingerexa wanataka kuibeza manu. hata uo usajili wangapi ulituaambia wanataka kuja manu kumbe na porojo tu. inaonekana ww ni mpenzi wa manu. basi ww kua mpenzi tu usilete porojo
ReplyDeleteLete uthibitisho unaosema waingereza wanaibeza man utd! Acha kuropoka vitu bla kufkiri mtandao wa kuaminika na hautoki uingereza ukafnya takwimu na kugundua kuwa man utd ina mashabiki wengi hasa bara la asia na ndio maana mara nying man utd wanapenda tour zao zfanyike asia sabab wanajua kuna maslahi! Kama huyo shafii analeta porojo kwnn uingie kwnye blog yke! Tengeneza ya kwako tuione!
DeleteNilijua 2 hii habari lazima iwaume.
DeleteLol!!
ReplyDeleteshabiki wa Liverpool hatokaa akaipenda man u hata siku moja na ukizingatia man u ndo timu iliotoa utemi wa muda mrefu wa Liverpool kwenye lig ya premier ya uingereza ....man u ni chanzo chaliverpool kuporomoka believe me or not
ReplyDeletema united will always be the great in UK.