Search This Blog

Monday, July 1, 2013

CHEMSHA BONGO: TAJA MAJINA YA WACHEZAJI WA KIKOSI HICHI CHA SIMBA


10 comments:

  1. Waliosimama kushoto ni Emmanuel Gabriel,Said sued, Yusuph Macho, Christopher Alex, Victor Costa na Suleiman Matola,
    Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Wasso, Ulimboka Mwakingwe, Juma Kaseja Athuman Machupa na Pawasa.....

    ReplyDelete
  2. walioinama kutoka kushoto ni Rama Waso,ulimoka,kaseja,machupa na pawasa, waliosimama kutoka kulia ni matola,nampoka vikta,cristopher massawe,mosso macho,swedi said, na gabriel emma.

    ReplyDelete
  3. EMMANUEL GABRIEL MWAKYUSA, SAID SUED, YUSUF MACHO,Christopher Alex, Victor Costa na Suleiman Matola,
    Waliochuchumaa kutoka kushoto ni Wasso, Ulimboka Mwakingwe, Juma Kaseja Athuman Machupa, Pawasa B. NA SELEMAN MATOLA.

    ReplyDelete
  4. huyu jamaaa ni mkaliiiiiiiiii

    ReplyDelete
  5. Waliosimama kutoka kushoto ni EMMANUEL GABRIEL MWAKYUSA,SAIDI SUED,YUSUFU MACHO''MUSSO'',CHRISTOPHER ALEX MASAWE,VICTOR COSTA NAMPOKA"NYUMBA" NA SULEIMAN MATOLA(C)
    WALIOCHUCHUMAA KUTOKA KUSHOTO NI RAMADHANI WASSO,ULIMBOKA ALFRED MWAKINGWE,JUMA KASEJA JUMA,ATHUMAN MACHUPA NA BONIFACE PAWASA

    ReplyDelete
  6. Mstari wa mbele toka kushoto Ramazan Waso, Ulimboka Mwakingwe "VCD", Juma K Juma, Mohamed Abdallah (Athuman Machupa)na Boniphace Pawasa.
    Mstari wa nyuma toka kushoto; Emmanuel Gabriel" Bat Goal",Said Sued, Yusuph Macho "Musso", Christopher Alex Massawe,Victor Costa "Nyumba" na Suleiman Matola "Veron"
    Kocha wao alikuwa Mkenya Aggrey Siang'a
    NB: Hiki ndicho kikosi kilicho wang'oa Zamalek Cairo 2003

    ReplyDelete
  7. Waliotaja karibu wote wamepatia na kikosi hiki kiliizima Yanga kwa muda mrefu na hasa alipokuja kuongezeka Nico Nyagawa du!

    ReplyDelete
  8. kikosi hiki kilikuwa kinabaatisha sana

    ReplyDelete
  9. Hicho ni kikosi kilichoifunga yanga kwa miaka saba(7)mfululizo

    ReplyDelete