Search This Blog

Monday, June 17, 2013

RAISI JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA KLABU YA SUNDERLAND YA UINGEREZA






4 comments:

  1. hizi ndizo silaa za wenzetu! kuwekeza kwa vijana!hawategemei kuwa na vijeba! wanajua wanachofanya.wana malengo endelevu kwa vizazizi vyote!

    ReplyDelete
  2. Hii ndio hazina ya miaka ya mbeleni sio sisi kazi kula na kujaza matumbo kwa mapato ya magetini. Sasa kikwete kaenda huko na hamna msaada atakaorudi nao. Tujifunze kutoka kwa wenzetu jamani tuacheni blablaaaa

    ReplyDelete
  3. Nko toafauti sana na huyo aliyeongea hapo awali kwamba hamna msaada wowote anaorudi nao. Haya ni maajabu na kumkosea heshima mwanamichezo mwenzetu raisi mpenda michezo na anyeujua mpira kuliko wote waliomtangulia!
    Shaffih hapa turejelee ukweli wa mambo ulivyo na wala cyo blahblah za wanaojiita weny mpira.
    Hapo awali ckuwa na sehemu ya kuprent mawazo yangu kutokana na kutopata sehamu muafaka ambapo naweza wasilisha na watu wakashiriki katika kukosoa ama kuongezea katika upeo na uelewa wangu wa kutathmini mambo kiunaga ubaga.
    Hivi watanzania tumewahi fanya tathmini juu ya mchango wa Jakaya ktk michezo hususani soka kwa taifa letu? Nadhani Raisi amekuwepo na mchango mkubwa mara mbili ya ule ufanywao na wadau wengine na adui mkubwa wa soka letu ni T.F.F!
    Recently naweza sema kwamba; shirikisho halina mipango endelevu na wanajaribu kutuhadaa kwa propaganda ziczo na maana. Mfano leo kauli ya katibu mkuu imenichefua sana.
    How come anatoa hoja ya kwamba mwamuzi katuua kwa kutoa penati! Hakuona km Nyoni kafanya faulo icyokuwa na maana? Pale mwamuzi angefanya lipi? Katibu alitakiwa ajiandae kuongea na media cyo kuleta propaganda zcizo na maana.
    Kuhusu Jakaya na ziara yake pale The light academy, kaja na mpango endelevu wa kuinvest sasa ktk watoto kwa kujenga kituo cha mafunzo ambacho wataalamu watatoka ulaya(sunderland) sasa hapo unalaumu kwa lipi?
    Tukirejea upande wa TFF inatakiwa warejee katika msingi wa soka ambao ni kurudisha mashindano kuanzia daraja la nne na cyo kuja na hz propaganda ambazo mtu mwenye pesa anaweza akamiliki timu na ndani ya miaka 2 ikawa imeshaingia ligi kuu kutokana na urahisi uliopo wa kupanda daraja endapo tu utakuwa na pesa lakini c mpira.
    Wanachokifanya TFF nadhani hakina tofauti na wizara ya elimu ila utofauti wake ni kuwa elimu haina mashindano ya kuhudhuliwa uwanjani km soka ila inapimwa kwa ufanisi ambao haupo kwani hata matokeo yanakuwa edited! Watoto wanamaliza form four hawajui hata kuandika majina yao na kwenye soka vivyo hivyo, mchezaji yupo premier league ilhali hana hata sheria moja ya soka kichwani! Unategemea nn zaidi ya kuwatesa makocha?
    Kwa kumalizia, ckuwa mkubwa sana enzi hizo lakini kuna kauli maarufu sana iliyotolewa na baba mwenye mji kwa kuiambia familia yake ni kichwa cha mwendawazimu badala ya kufanya mipango endelevu ya kuuondoa huo uwendawazimu!
    Jakaya ana muono wa mbali sana na soka letu thus why kaanza kwa kutusogeza karibu na timu ili tujikubali wenyewe kwanza na sasa ndo tunaanza mipango ila TFF hata academy yao wameshindwa kuiendeleza, hao ndo wanaoturudisha nyuma coz hata ukiwauliza pesa wanazitumia vp huwezi pata jibu la moja kwa moja coz kuna ubabaishaji pale karume.
    NAOMBA KUWASILISHA!

    ReplyDelete
  4. Tumekua tukiyaona haya ya wenzetu miaka nenda rudi,na hii ni kwenye nyanja zote c kwanye mpira tu,ila chakusikitisha hatujawahi kujifunza,cc bado sana labda maombez yatatutoa hapa.

    ReplyDelete