Kwa game ya jana Spain alitakiwa kupigwa hata goli sita but bahati ilikuwa kwao,much respect to David Luiz,Thiago Silva,Gustavo & Poulinho kwa kazi kubwa waliyoifanya hiyo jana,but Shaffih ungeweka kichwa cha habari kiwe TIMU YA DUNIA YAPIGWA TATU BILA. Coz kila cku huwa mnaiita Spain kama timu ya Dunia na kuwaona kama hawafungiki but wamekutana na wababe wao sa cjui hawa tuwaite timu ya nini...........!!!???
Nadhani mambo mengine ni upenzi tu! kwa mpira waliocheza Spain kwa Italy kwa nini wasifungwe? Na hata Italy hawakuwa makini tu nadhani Italy na Brazil ingekuwa fainali nzuri zaidi kuliko ya Spain na Brazili. Tofauti Brazili ni vijana wadogo wana kasi na wanacheza mpira wa aina zote! Kama wa iungereza wanauweza kwani kuanzia ktkt kwenda mbele hawana mashara na kasi ya ajabu lkn hata wa Spain wa ngonga wakiamua pia wanaucheza hiyo ndo tofauti kwani Spain wana mpira uliopitwa na wakati sasa uleule wa saba bila wa Barcelona touch hadi kwenye sita nani kakuambia huo ndo mpira! Pele alishamaliza aliposema mpira ni magoli acha habari ya chenga twawala! Hao ndo Brazili Bwana! NURU SPORTS MSM.
acha tu watangazaj wa Sports Extra hta supaspot na wnyw walkulupuka hvyo hvyo pasipo kujua kkwamba hii ni final na walioingia hawakubahatsha sasa aibu imerejea kwao duuuh chezea brazl weyeeeeeeeeeeee
SIYO WATANGAZAJI WA SPORTS EXTRA TU HATA SUNDAY OLISEH NA SAMMY KUFFO WACHAMBUZI WA SS3 WAQLIIPA SPAIN USHINDI MMOJA ALISEMA 2-0 MWINGINE ALISEM 2-1 "I GIVE ONE GAOL TO NEYMAR"
MMOJA WAO AKAEMA A GOAL LESS DRAW TO THE EXTARA TIME THEN PENALTIES WILL DECIDE...THUBUTUUU...KAMA ALIVYOSEMA JAMAA HAPO JUU KWA ALIYENAGALIA MPIRA WA SAPIN VS ITALY MATOKEO YA FAINALI YALISHAJULIKANA MAPEMA....SPAIN IS LIKE BARCA HAWANA ALTERNATIVE B PALE ALTERNATIVE A INAPOOONYESHA KUFELI...
Kabla ya mechi ya fainali na hata kabla ya michuano hii mashabiki wengi wa soka walikuwa wanaiangalia brazil kama timu changa ambayo haitamudu changamoto za mashindano haya na wengine wakadiriki kusema kuwa wakikutana na hispania watapigwa nyingi. Kama ukifuatilia takwimu vizuri ni kuwa Brazil Wachezaji wote wana uzoefu mkubwa wa michuano mikubwa labda kwenye kikosi cha kwanza ni Neymar na paulinho ndio hawajacheza Ulaya ila upungufu huo unafidiwa na vipaji vya hali ya juu sana. tujikumbushe takwimu kidogo hapa chini: 1. Julio Cesar:- huyu amecheza ligi kubwa ulaya Sirie A na EPL. Ni bingwa wa UCL, bingwa wa Sirie A na pia ameshuhudia club yake ya QPR ikishuka daraja msimu uliopita japo uwezo wake hautiliwi mashaka na ndio maana ameshinda tuzo ya kipa bora wa mashindano. 2. Dani Alves:-Huyu ameshinda kila kombe ambalo klabu za Ulaya zinaweza kushindania. Kuanzia Copa del Rey, La Liga, UCL, Super Cup Spain, Super Cup EUROPE, Club bingwa Dunia na hata makombe mengine madogo ya Mbuzi..(just a joke!) 3.Beki mwenye Kipaji, Bingwa wa la liga mara tatu, super cup spain Copa Del Rey. Uwezo wake unaeleweka. 4.Thiago Silva. Hiki ni kisiki, hapitiki kirahisi na ndio maana PSG walivunja benki na sasa hata barca wanamtaka pia. ni Bingwa wa Sirie A, an Ligue One. 5.David Luiz: kisiki kingine, ni bingwa wa UCL, bingwa wa EUROPA, na bingwa wa FA. Huyu beki sihitaji kutoa maelezo mengi. 6.Luiz Gustavo. Alianza kama beki tatu baadaye akawa kiungo mkabaji. Amechezea Buyern misimu miwili iliyopita ina maana amecheza fainali mbili za klabu bingwa ulaya na kushinda moja. ameshinda treble na Buyern nk. (kwa ufupi ni kuw ukuta wa brazil upo vizuri kuliko watu wengi wanavyodhani, mi nashangaa mnaposema brazil ni wachanga, wachangiaji wengine niambieni hadi hapa ni nani hana Uzoefu? takwimu ni muhimu janmani.) 7. Paulinho.- Huyu sijamfuatilia sana kwani sipati muda wa kufuatilia ligi ya brazili, ila wachambuzi wengine wa soka wanamwita 'box-to-box midfielder'. ila unapoona kocha mzoefu kama Big PHIL anamwacha mmakonde ramirez anamchukua Paulinho ujue kuna jambo, ukiona Xavi na Iniesta wametulizwa ujue wanaume wapo kazini. 8.Oscar:- Pale darajani mashabiki huwa wanabeba mabango yameandikwa 'SUPER FRANKIE' wakimaanisha kwao Lampard ni zaid ya mchezaji, kuna wakati huwa si mgonjwa ila anakaa bech, anayemweka bench ni Oscar, kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa, ni bingwa wa EUROPA pia. 9. Fredi:- huyu amecheza sana ulaya kabla ya kusumbuliwa na majeruhi na kuamua kurudi nyumbani brazil. unaikumbuka ile Olympic lyon iliyokuwa inainyanyasa real madrid kwenye UEFA? ni ile ya juninhi Pernambucano huyu alikuwa mfungaji wao kabla hajaondoka kumpisha Karim Benzema. 10.Hulk:- kama unamfahamu Falcao, huyu alikuwa pacha wake pale porto wakati waliposhinda kombe la EUROPA. kwa sasa yupo zenit St Petersburg. 11. Neymar:-The Comming Super star.
NB.Haya ni mawazo yangu na baadhi ya takwimu ninazozikumbuka, unaweza kuchangia kuboresha zaidi. Ibrah....
Mpira unawenyewe!!
ReplyDeleteBRAZILI WAMEONYESHA KUWA WANAUJUA......
ReplyDeleteNEYMAR AMEDHIHIRISHA KAULI YA PELE.......
Kwa game ya jana Spain alitakiwa kupigwa hata goli sita but bahati ilikuwa kwao,much respect to David Luiz,Thiago Silva,Gustavo & Poulinho kwa kazi kubwa waliyoifanya hiyo jana,but Shaffih ungeweka kichwa cha habari kiwe TIMU YA DUNIA YAPIGWA TATU BILA. Coz kila cku huwa mnaiita Spain kama timu ya Dunia na kuwaona kama hawafungiki but wamekutana na wababe wao sa cjui hawa tuwaite timu ya nini...........!!!???
ReplyDeleteWatangazaji wa Sports Extra akiwemo mbwiga kila mmoja akajinasibu kuwa Spain lazima washinde..AIBU YAO!
ReplyDeleteNadhani mambo mengine ni upenzi tu! kwa mpira waliocheza Spain kwa Italy kwa nini wasifungwe? Na hata Italy hawakuwa makini tu nadhani Italy na Brazil ingekuwa fainali nzuri zaidi kuliko ya Spain na Brazili. Tofauti Brazili ni vijana wadogo wana kasi na wanacheza mpira wa aina zote! Kama wa iungereza wanauweza kwani kuanzia ktkt kwenda mbele hawana mashara na kasi ya ajabu lkn hata wa Spain wa ngonga wakiamua pia wanaucheza hiyo ndo tofauti kwani Spain wana mpira uliopitwa na wakati sasa uleule wa saba bila wa Barcelona touch hadi kwenye sita nani kakuambia huo ndo mpira! Pele alishamaliza aliposema mpira ni magoli acha habari ya chenga twawala! Hao ndo Brazili Bwana! NURU SPORTS MSM.
ReplyDeleteacha tu watangazaj wa Sports Extra hta supaspot na wnyw walkulupuka hvyo hvyo pasipo kujua kkwamba hii ni final na walioingia hawakubahatsha sasa aibu imerejea kwao duuuh chezea brazl weyeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteSIYO WATANGAZAJI WA SPORTS EXTRA TU HATA SUNDAY OLISEH NA SAMMY KUFFO WACHAMBUZI WA SS3 WAQLIIPA SPAIN USHINDI MMOJA ALISEMA 2-0 MWINGINE ALISEM 2-1 "I GIVE ONE GAOL TO NEYMAR"
ReplyDeleteMMOJA WAO AKAEMA A GOAL LESS DRAW TO THE EXTARA TIME THEN PENALTIES WILL DECIDE...THUBUTUUU...KAMA ALIVYOSEMA JAMAA HAPO JUU KWA ALIYENAGALIA MPIRA WA SAPIN VS ITALY MATOKEO YA FAINALI YALISHAJULIKANA MAPEMA....SPAIN IS LIKE BARCA HAWANA ALTERNATIVE B PALE ALTERNATIVE A INAPOOONYESHA KUFELI...
mpira wa kuzaliwa nao " In born football' against "class football" mpira wa darasani wapi na wapi...?
ReplyDeleteKabla ya mechi ya fainali na hata kabla ya michuano hii mashabiki wengi wa soka walikuwa wanaiangalia brazil kama timu changa ambayo haitamudu changamoto za mashindano haya na wengine wakadiriki kusema kuwa wakikutana na hispania watapigwa nyingi. Kama ukifuatilia takwimu vizuri ni kuwa Brazil Wachezaji wote wana uzoefu mkubwa wa michuano mikubwa labda kwenye kikosi cha kwanza ni Neymar na paulinho ndio hawajacheza Ulaya ila upungufu huo unafidiwa na vipaji vya hali ya juu sana. tujikumbushe takwimu kidogo hapa chini:
ReplyDelete1. Julio Cesar:- huyu amecheza ligi kubwa ulaya Sirie A na EPL. Ni bingwa wa UCL, bingwa wa Sirie A na pia ameshuhudia club yake ya QPR ikishuka daraja msimu uliopita japo uwezo wake hautiliwi mashaka na ndio maana ameshinda tuzo ya kipa bora wa mashindano.
2. Dani Alves:-Huyu ameshinda kila kombe ambalo klabu za Ulaya zinaweza kushindania. Kuanzia Copa del Rey, La Liga, UCL, Super Cup Spain, Super Cup EUROPE, Club bingwa Dunia na hata makombe mengine madogo ya Mbuzi..(just a joke!)
3.Beki mwenye Kipaji, Bingwa wa la liga mara tatu, super cup spain Copa Del Rey. Uwezo wake unaeleweka.
4.Thiago Silva. Hiki ni kisiki, hapitiki kirahisi na ndio maana PSG walivunja benki na sasa hata barca wanamtaka pia. ni Bingwa wa Sirie A, an Ligue One.
5.David Luiz: kisiki kingine, ni bingwa wa UCL, bingwa wa EUROPA, na bingwa wa FA. Huyu beki sihitaji kutoa maelezo mengi.
6.Luiz Gustavo. Alianza kama beki tatu baadaye akawa kiungo mkabaji. Amechezea Buyern misimu miwili iliyopita ina maana amecheza fainali mbili za klabu bingwa ulaya na kushinda moja. ameshinda treble na Buyern nk.
(kwa ufupi ni kuw ukuta wa brazil upo vizuri kuliko watu wengi wanavyodhani, mi nashangaa mnaposema brazil ni wachanga, wachangiaji wengine niambieni hadi hapa ni nani hana Uzoefu? takwimu ni muhimu janmani.)
7. Paulinho.- Huyu sijamfuatilia sana kwani sipati muda wa kufuatilia ligi ya brazili, ila wachambuzi wengine wa soka wanamwita 'box-to-box midfielder'. ila unapoona kocha mzoefu kama Big PHIL anamwacha mmakonde ramirez anamchukua Paulinho ujue kuna jambo, ukiona Xavi na Iniesta wametulizwa ujue wanaume wapo kazini.
8.Oscar:- Pale darajani mashabiki huwa wanabeba mabango yameandikwa 'SUPER FRANKIE' wakimaanisha kwao Lampard ni zaid ya mchezaji, kuna wakati huwa si mgonjwa ila anakaa bech, anayemweka bench ni Oscar, kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa, ni bingwa wa EUROPA pia.
9. Fredi:- huyu amecheza sana ulaya kabla ya kusumbuliwa na majeruhi na kuamua kurudi nyumbani brazil. unaikumbuka ile Olympic lyon iliyokuwa inainyanyasa real madrid kwenye UEFA? ni ile ya juninhi Pernambucano huyu alikuwa mfungaji wao kabla hajaondoka kumpisha Karim Benzema.
10.Hulk:- kama unamfahamu Falcao, huyu alikuwa pacha wake pale porto wakati waliposhinda kombe la EUROPA. kwa sasa yupo zenit St Petersburg.
11. Neymar:-The Comming Super star.
NB.Haya ni mawazo yangu na baadhi ya takwimu ninazozikumbuka, unaweza kuchangia kuboresha zaidi. Ibrah....