Search This Blog

Friday, May 3, 2013

JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAAMUZI YA FIFA.


4 comments:

  1. mkuu hii taarifa haionekani vizuri

    ReplyDelete
  2. Hivi alivyoomba uongozi TFF au alivyokata rufaa FIFA aliomba kama Mwenyekiti wa Chama cha Mpira Mkoa wa Kagera au kama Jamal Malinzi?kama sio unafiki na kutaka kujipendekeza kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF ni nini?Serikali ilichodai ni kwamba mabadiliko ya Katiba ya TFF hayakufuata utaratibu,sasa hatujasikia FIFA wakieleza kama wamekataa mabadiliko hayo au hapana lakini kitendo cha FIFA kutambua kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2012 ni dhahiri kwamba wanaitambu katiba ya TFF ya 2012,Sasa Malinzi anaipongeza serikali kwa kipi?si aseme tu kwamba ilifuta katiba ili kumbeba na sio ukikwaji wa katiba hiyo

    ReplyDelete
  3. FIFA wameputa kitumbua kilichokua kikielekea kinywani kwa wagombea waliokuwa wanatakiwa na TFF!! Sasa sisi wanamichezo tunasema tunataka demokrasia, tuleteeni watu wajieleze tuwapime halafu kura zipigwe!! Chonde chonde jamani tunawasihi msiturudishe kulekule jamani!!Halafu wabongo msianzishe shari utafikiri mmetumwa! Comment gani sasa hiyo hapo juu!!!

    ReplyDelete
  4. uAMUZI WA fifa HAUMAANISHI KWAMBA mALINZI AU wAMBURA WAMESHINDA.KAMA INGEKUWA HIVYO fifa INGEWAREJESHA MOJA KWA MOJA KWENYE UCHAGUZI NA KUAGIZA UCHAGUZI UENDELEE ULIPOISHIA KAMA ILIVYOKUWA KWA MAGORI MWAKA 2004.kINACHOONEKANA HAPA NI KWAMBA HATA KAMATI YA mTINGINJOLA HAIKUWA NA MAKOSA KWANI ILIFUATA KANUNI ZA UCHAGUZI ZA TFF.KAMA WAMBURA NA MALINZI HAWAKUWA WAMEADHIBIWA KWA UTOVU WA MAADILI HIYO HAIKUIHUSU KAMATI YA MTINGINJOLA KWA KUWA HAWAKUWA WANAKIDHI SIFA ZA UCHAGUZI.NINATARAJIA KUWAWEKEA PINGAMIZI MALINZI NA WAMBURA KWENYE KAMATI YA MAADILI YA TFF.HIVYO MALINZI AACHE KUTAPATAPA NA KUMFUNDISHA KAZI TENGA KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA KAMATI ZA MAADILI AMUACHE TENGA ATEKELEZE MAMLAKA YAKE KWA KUTEUA WAJUMBE ANAOONA WANAFAA.

    ReplyDelete