Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa wiki kadhaa sasa amekuwa nchini Uingereza akifanya maonyesho yake ya kimuziki, usiku wa jana jijini London alikuwa akifanya show na mmoja ya wahudhuriaji alikuwa mchezaji wa kikosi cha pili cha Chelsea Adam Nditi ambaye ni mzaliwa wa Tanzania Visiwani. Kwa mujibu wa tweets za Adam Nditi amesema hakupenda hata kidogo kitendo alichofanya Diamond katika show yake kwa kufanya show mbovu ambayo ilichelewa kuanza baada ya msanii kuingia ukumbini asubuhi badala muda halisi uliopangwa. |
Mi ndio mana nikisikia wamekuja hao wasanii wa bongo flava huwa siachi mambo yangu kwa ajili ya kuwenda kuwaangalia .
ReplyDeleteNajua nitapata kero tu hala nitajutia kutoa kingilio changu unatoa €20 halafu unaacha usingizi kwa kutegemea kitu kizuri mwisho wa siku unajutia mpaka nauli yako uliyolipia trein .
Hao ni kuachana nao tu hawana mana wabana pua.
Tusubiri Msondo au Sikinde tupate burudani iliyo halisi na ya kupendeza.
Wameshazoea vibaya kibongobongo, mnatangaziwa show kuanza saa mbili usiku utaona mtu anakuja saa sita halafu mtazame usoni yuko njwiiii!!! Halafu anaanza kuimba nataka kulewa kumbe alishawaka zamani!Sikinde wamewai kupiga Germany tunaomba wafanyabiashara watuletee Sikinde au Msondo UK!!
ReplyDeleteUyo Adam ameonesha chuki tu. badala ya kushauri na kutaja mapungufu kwa msanii na si kuponda kiasi hicho. platnumzz amefanya show nyingi na na sehem nyingi tofauti na haya kama amekua ametumia playback bado show zake zimekua nzuri ti sana., mfano Mir niliona moja ya big brother Africa, kiukweli anafanya vizuri, nakushauri haya wewe nditi usitukane manna angali hujavuka mto, so far wewe IME offer nini Charles? AMA ndio yaleyale nachezea simba AMA yanga Mie baby kubwa? Tutor support kwa kila mtanzania mwenzetu anae onesha na kujaribu...najivunia sana kuskia kuna ndit charlsea haya kuskia Leo platnumz anashow nje ya nchi.
ReplyDelete