WAKATI Haruna Niyonziam
akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga, habari zilizotufikia
hivi punde zinasema kiungo wa Simba, Amri Kiemba amesajiliwa na Yanga tayari
kwa kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao.
Akizungumza na mtandao
huu, mtu mmoja kutoka kamati ya usajili ya Yanga, amesema Kiemba amesajiliwa kwa
mkataba wa miaka miwili ili kuongoza nguvu katika safu ya usajili ya Yanga.
Mtandao huu unaahidi kuwasiliana
na Kiemba muda mfupi atakapotoka mazoezini katika kambi ya Taifa Stars
kujiandaa na mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2014.
Atakapotoka mazoezini mtandao
huu utawasiliana naye kiungo huyo ili aweze kueleza ukweli juu ya usajili wake
kwa Yanga.
Kiemba aliwahi
kuichezea Yanga miaka ya nyuma kabla ya kutimka katika timu hiyo.
ndo maana alitufelisha final game...bad perfomamnce sijawahi ona kumbe alikuwa anaogopa kutia kitumbua mchanga....xaxa hapo angalia tofauti na ulaya utaona Gotze anavyokamua kesho.
ReplyDeleteyanga is best tem ever hahahahahahahahahahaha i love you jangwani
ReplyDeleteSafi sana
DeleteU love jangwani or u love mafuriko?
ReplyDeleteWewe Jangwani aisee
Deletehebu kuweni wastaarabu kutumia hela nyingi kusajili wachezaji mamluki?jee timu yetu ya vijana vipi?angalau hata makocha wetu wazawa wapelekwe masomoni ndio kitu cha faida kwetu sio kusajili mamluki.
ReplyDeletemamluki ndo mpango mzima ww wa wapi
Deletembele daima nyuma mwiko halaaaah yanga
ReplyDeleteJEGAh. hata kiemba xaxa yanga itakua inajaza wazee tu, watafte vijana.
ReplyDeletegood news dar young africans
ReplyDeletegood news for young africans fans and painfull for simba fans if it is true story
ReplyDeleteAaaaa mpwa usifanyie kazi tetesi ukatoa hukumu wakati huuu ni muda muafaka kwa wachezaji waliomaliza mikataba kuwalipua na kuwabamiza viongozi wao fedha taslimu maaana ukisaini pesa nusu siku ukidai utaaambiwa huna nidhamu tunachezesha yoso mpwA tuwaunge mguu na mikono
ReplyDeleteHuyo Kiemba hajatoka mazoezini mpaka sasa? Acha us.....
ReplyDeleteMigogoro ya kijinga ndani ya Simba ndiyo itakayo idhoofisha timu, wapo watu wanaotegemea vilabu vya simba na yanga suala la Kiemba kusajili yanga silisshangai lakini amuulize Kijiko !!!!! yupo wapi ?
ReplyDeleteHilo ndio tatizo la wachezaji wetu wa kibongo!halafu utasema kesho aombe tena kurudi simba!!! Lakini ndio maisha ya wachezaji wetu.simba tafuteni kiungo mwingine mkali zaidi mtamsahau kiemba!wamepita wengi tu,kikubwa ondoeni mamluki wote wa yanga ndani ya simba.
ReplyDeleteKaribu tena nyumbani
ReplyDeletesioni sababu ya yanga kumsajili kiemba. atacheza nafasi gani? yanga imesheheni vipaji tupu.
ReplyDeleteMimi ni shabiki wa Simba,lakini sidhani kama ni uamuzi sahihi kwa Kiemba kwenda Yanga kutokana na aina ya mchezo anaocheza.Nahisi ameona heri pochi kuliko carrier yake.Hata kama itakwisha potelea kwa mbali.
ReplyDeletemimi coni haja kiemba aichezee yanga koz hana jipya zaidi ya chuji na domayo hata omega seme ni mzuri xna.
ReplyDeleteyap its a gud signing 4 us we need a commanding midfilder lyk kiemba bt we alxo need a net bluster lyk senntongo o ndikumana then we wil reach far in african championship
ReplyDeleteSioni kama kuna haja ya kuwa na kiemba kwani tayari yupo Domayo, Chuji,Nionzima sasa Kiemba wa nini.Mimi naona yanga inahitaji strikers wa uhakika wawili.Au kama ni kiungo awe zaidi ya Chuji,Domayo na Niyonzima Vinginevyo sioni sababu ya kumsajili Kiemba.
Deleteshaffih ndugu yangu wewe sijui mwandishi wa aina gani?unapoandika amesaini yanga uwe na uhakika si kusikia habari za mtaani wewe ni mwandishi mkubwa ambaye mimi mmojawapo nafuatilia sana blog yako,ninachokuomba kuwa na uhakika na unachokiandika usiwe unaropoka tu wakati huna uhakika,haya hebu tuthibitishie ukweli wa hii habari ili tuamini kaka
ReplyDeletetutafute vipaji vipya tuachane na mamluki hao ndio wanaotuharibia timu
ReplyDeletewajinga ndio waliwao! etti wanajifanya wanajiamini chezea bin cleb wewe...
ReplyDeleteyeye mwache aende yanga atakula benchi mpaka aseme alikwenda kutafuta nini pale pamesheheni vipaji vingi kwanza mamluki huyo kaa huko huko upate maisha
ReplyDeletemwache aende yanga sisi hatuna pesa bwana
ReplyDeletevizuri ni ghali, msomali anatucost sana
AHAAAAAAAAAAAAAA UONGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
ReplyDeleteooooh!
ReplyDelete