Ilikuwaje azam waende takukuru bila ushaidi? Wamewadhalilisha,wamewavunjia heshima waliokuwa nayo kwenye soka na jamii pia.Nashauri wachezaji Hao watoe malalamiko yao ktk kamati ya hadhi na heshima ya wacjezaji ya TFF ili azam ichukuliwe hatua.Francy kampla uganda.
Pamoja na kwamba kijinai suala hili limekwisha,lakini kiutawala bado TFF na Azam wanao wajibu wa kufanya uchunguzi wa kisoka kujiridhisha kama kweli hakukuwa na mazingira ya kupanga matokeo(siyo rushwa)na kulitolea uamuzi kwa taratibu za kisoka.Azam walichemka kukimbilia TAKUKURU kwa kuwa kesi za namna hii huwa ni ngumu kuzithibitisaha kwan taratibu za kisheria
Ndugu shaffih Nadependa kuwasilisha maoni yangu kwenye hili suala la Azam kama mdau wa mpira. Kwanza bila kuuma maneno ninalaumu sana suala la rushwa kwenye mchezo wa soka. Rushwa hufanya mchezo wa soka upoteze mvuto kwani timu isiyo na kiwango inashinda. Kwan chi yetu rushwa ikifungiwa macho itafanya timu zitakawazo wakilisha taifa ziwe mbovu. Kwenye eneo lolote lile rushwa ni kikwazo cha maendeleo na haki. Baada ya kusema hayo tuangalie mfumo wa Tanzania hasa kwenye soka na jinsi ya kupambana na rushwa. Tofauti na rushwa za kimataifa ambazo hufanywa kwa utaalamu wa juu na makundi ya wahalifu, rushwa ya soka nchini inadaiwa kufanywa na watu wanaofahamika ila wanaogopwa. Hizi ni tuhuma ila sijawahi kusikia vyombo vyenye mamlaka kuwatia hatihhani watu kwa rushwa kwenye soka. Tukizungumzia vyombo vinavyohusika, kwa upeo wangu ni PCCB na Kamati ya nidhamu. Ila kwa upande wa PCCB sijui kama sharia za FIFA zinaruhusu taasisi hii kuingilia kesi za rushwa kwenye soka. Kwa mwenye uelewa anieleweshe maana hawa FIFA watata sana. Suala hili ni muhimu kujua maana pasipo kuwa wazi vyombo hivi vinaweza kuungiliana na kuleta mtafaruku sana. Hivi mfano PCCB wangewakuta na hatia na kamati ya nidhamu isiwakute na hatia utata huu angeutatua nani? Sasa kwenye suala hili la Azam yapo mambo ya kuzingatia Suala la kwanza ni ukweli wa hatua zilizo chukulia na Azam. Kwanza Azam haikuwai kuwafukuza hawa wachezaji. Azam iliwasimamisha wakati uchunguzi unaendelea. Na nakumbuka nilisikiliza interview ya mmoja wao na akasema wanaendelea kulipwa mshahara wao kama kawaida. Na katika taarifa ya kuwasimamisha Azam walitoa sababu. Kwanza tuhuma dhidi ya hawa wachezaji zilidhoofisha kambi ya timu kwa sababu ya manung’uniko kutoka kwa wachezaji wengine. Pili Azam haina ujuzi wa kufanya uchunguzi, kwa hiyo waliamua kulifikisha suala hili PCCB (hapa sijui kama ni chombo sahahihi kulingana na taratibu za FIFA) Suala la pili baada ya kutokutwa na hatia je ni sahihi kwa Azam kuwarudisha kundini? Ni lazima kujua hawa ni wachezaji, kuwalipa tu mishahara bila ya kupata timu za mazoezi ni ngumu sana kupata maisha baada ya mikataba yao na Azam. Kwa hiyo kwa masilihi ya Azam na Tanzania ni lazima hawa wapewe haki yao maana watu wasio na hatia kulingana na PCCB. Azam imefanya uamuzi sahihi na wa busara kuwarudisha. Ingawa kama watakuwa timu ya kwanza ni suala la mwalimu kuona fitness yao. Tatu hili suala la Azam tusilichukulie kama ni kikwazo kwa maendeleo ya soka. Badala yake iwe mwanzo kwa vilabu vyote kama kuna tuhuma za rushwa basi vyombo vya kisheria vitumike. Tumezoa washabiki wa kurwa na doto wakitishia wachezaji hata kutaka kuwapiga (mfano walichomfanyia kaseja). Ni lazima tuheshimu wachezaji na tusiwe mahakimu wa kesi zetu wenyewe bali tutoe nafasi kwa vyombo husika. Kwa kuhitimisha, Azam haikuwai kuhukumu mtu na ndo maana ilenda PCCB. Kama Simba wanadhani waliharibiwa heshima nao waende kwenye vyombo vya sharia kulingana na taratibu za mpira. Leo hii ni Azam kesho itakuwa mwingine. Ni lazima tuheshimu taratibu. Kupiga porojo haitasaidia bali vitendo ndo vitasaidia. Simba ni timu kumbwa na ina wanasheria, wapitie sheria za FIFA na Tanzania na kuamua njia sahihi za kulinda brand yao. Tukifuata hizi haki kila mtu atapata haki yake.
Azam wanatakiwa kuwaomba radhi Simba na wachezaji waliokuwa wamesimamishwa na kile chama cha haki za wachezaji kiingilie kati ili kukomesha tabia zisizokuwa za kiuungwana kama hizi. Shafii hongera sana kwa blog yako iko current sana, big up brother
AZAM FC WAMEKUBALI MAAMUZI YA PCCB KUWA NI SAHIHI NA KUWARUDISHA WACHEZAJI WAO KUNDINI.
JE ULE USHAHIDI WALIOUPELEKA TAKUKURU WALIUTOA WAPI MPAKA WAKUBALI MATOKEO KIRAHISI HIVYO?
SIMBA WAO WAMEVUNJIWA HESHIMA KWA KIASI KIKUBWA CHA KUFANYA WATAKIJUA WAO ILA NINGEKUWA MIMI NINGEFUNGUA KESI YA MADAI ( FIDIA) HUWEZI KUHISI KITU AMBACHO HUNA UHAKIKA NACHO NA KUKIPELEKA SEHEMU KAMA HIYO.
Raha ya soka ni pale ambapo matokeo hayatabiriki,na hii ndio asili ya mchezo wowote wa kimashindano.Rushwa inafanya matokeo ya mechi yatabirike na hivyo kuondoa ladha ya mchezo na kuwaibia fedha watazamaji.Kiini cha rushwa kwa klabu za soka za Tanzania hasa hizi zenye washabiki wengi ni tabia ya WANACHAMA na washabiki kutokubali dhana ya kuwepo matokeo ya aina tatu katika soka,kushinda,sare,na kushindwa na badala yake kutaka timu wanazozishabikia zishinde kila mchezo.Kutokana na tabia hii viongozi wa klabu hizo hulazimika kutafuta ushindi kwa kila mbinu ili kuwaridhisha wanachama na mashabiki na wao kujilinda katika nafasi zao.Huku ni kujidanganya,Hata kama TAKUKURU imeshindwa kupata uthibitisho wa tuhuma dhidi ya wachezaji hawa lisitufanye tubweteke na kulegeza vita dhidi ya rushwa katika soka.RUSHWA IPO KATIKA SOKA LA TANZANIA na inawahusisha wachezaji,makocha,Vongozi wa Vilabu na waamuzi.Ndio maana timu zetu hazifanikiwi kwenye mechi za kimataifa,Hiyo timu inayotuhumiwa kutoa rushwa kwa wachezaji hawa ilipotia mguu mechi za kimataifa imetolewa mapema kwa kufungwa 5-0.
Ilikuwaje azam waende takukuru bila ushaidi? Wamewadhalilisha,wamewavunjia heshima waliokuwa nayo kwenye soka na jamii pia.Nashauri wachezaji Hao watoe malalamiko yao ktk kamati ya hadhi na heshima ya wacjezaji ya TFF ili azam ichukuliwe hatua.Francy kampla uganda.
ReplyDeletePamoja na kwamba kijinai suala hili limekwisha,lakini kiutawala bado TFF na Azam wanao wajibu wa kufanya uchunguzi wa kisoka kujiridhisha kama kweli hakukuwa na mazingira ya kupanga matokeo(siyo rushwa)na kulitolea uamuzi kwa taratibu za kisoka.Azam walichemka kukimbilia TAKUKURU kwa kuwa kesi za namna hii huwa ni ngumu kuzithibitisaha kwan taratibu za kisheria
ReplyDeleteNdugu shaffih
ReplyDeleteNadependa kuwasilisha maoni yangu kwenye hili suala la Azam kama mdau wa mpira. Kwanza bila kuuma maneno ninalaumu sana suala la rushwa kwenye mchezo wa soka. Rushwa hufanya mchezo wa soka upoteze mvuto kwani timu isiyo na kiwango inashinda. Kwan chi yetu rushwa ikifungiwa macho itafanya timu zitakawazo wakilisha taifa ziwe mbovu. Kwenye eneo lolote lile rushwa ni kikwazo cha maendeleo na haki.
Baada ya kusema hayo tuangalie mfumo wa Tanzania hasa kwenye soka na jinsi ya kupambana na rushwa. Tofauti na rushwa za kimataifa ambazo hufanywa kwa utaalamu wa juu na makundi ya wahalifu, rushwa ya soka nchini inadaiwa kufanywa na watu wanaofahamika ila wanaogopwa. Hizi ni tuhuma ila sijawahi kusikia vyombo vyenye mamlaka kuwatia hatihhani watu kwa rushwa kwenye soka.
Tukizungumzia vyombo vinavyohusika, kwa upeo wangu ni PCCB na Kamati ya nidhamu. Ila kwa upande wa PCCB sijui kama sharia za FIFA zinaruhusu taasisi hii kuingilia kesi za rushwa kwenye soka. Kwa mwenye uelewa anieleweshe maana hawa FIFA watata sana. Suala hili ni muhimu kujua maana pasipo kuwa wazi vyombo hivi vinaweza kuungiliana na kuleta mtafaruku sana. Hivi mfano PCCB wangewakuta na hatia na kamati ya nidhamu isiwakute na hatia utata huu angeutatua nani?
Sasa kwenye suala hili la Azam yapo mambo ya kuzingatia
Suala la kwanza ni ukweli wa hatua zilizo chukulia na Azam. Kwanza Azam haikuwai kuwafukuza hawa wachezaji. Azam iliwasimamisha wakati uchunguzi unaendelea. Na nakumbuka nilisikiliza interview ya mmoja wao na akasema wanaendelea kulipwa mshahara wao kama kawaida. Na katika taarifa ya kuwasimamisha Azam walitoa sababu. Kwanza tuhuma dhidi ya hawa wachezaji zilidhoofisha kambi ya timu kwa sababu ya manung’uniko kutoka kwa wachezaji wengine. Pili Azam haina ujuzi wa kufanya uchunguzi, kwa hiyo waliamua kulifikisha suala hili PCCB (hapa sijui kama ni chombo sahahihi kulingana na taratibu za FIFA)
Suala la pili baada ya kutokutwa na hatia je ni sahihi kwa Azam kuwarudisha kundini? Ni lazima kujua hawa ni wachezaji, kuwalipa tu mishahara bila ya kupata timu za mazoezi ni ngumu sana kupata maisha baada ya mikataba yao na Azam. Kwa hiyo kwa masilihi ya Azam na Tanzania ni lazima hawa wapewe haki yao maana watu wasio na hatia kulingana na PCCB. Azam imefanya uamuzi sahihi na wa busara kuwarudisha. Ingawa kama watakuwa timu ya kwanza ni suala la mwalimu kuona fitness yao.
Tatu hili suala la Azam tusilichukulie kama ni kikwazo kwa maendeleo ya soka. Badala yake iwe mwanzo kwa vilabu vyote kama kuna tuhuma za rushwa basi vyombo vya kisheria vitumike. Tumezoa washabiki wa kurwa na doto wakitishia wachezaji hata kutaka kuwapiga (mfano walichomfanyia kaseja). Ni lazima tuheshimu wachezaji na tusiwe mahakimu wa kesi zetu wenyewe bali tutoe nafasi kwa vyombo husika.
Kwa kuhitimisha, Azam haikuwai kuhukumu mtu na ndo maana ilenda PCCB. Kama Simba wanadhani waliharibiwa heshima nao waende kwenye vyombo vya sharia kulingana na taratibu za mpira. Leo hii ni Azam kesho itakuwa mwingine. Ni lazima tuheshimu taratibu. Kupiga porojo haitasaidia bali vitendo ndo vitasaidia. Simba ni timu kumbwa na ina wanasheria, wapitie sheria za FIFA na Tanzania na kuamua njia sahihi za kulinda brand yao. Tukifuata hizi haki kila mtu atapata haki yake.
Mpenda Soka
Mi nafikili wanatakiwa wawaombe Simba msamaha pia kwa wachezaji wenyewe, laini kwa wachezaji nawashauri wahame timu hiyo haraka iwezekanavyo.
ReplyDeleteAzam wanatakiwa kuwaomba radhi Simba na wachezaji waliokuwa wamesimamishwa na kile chama cha haki za wachezaji kiingilie kati ili kukomesha tabia zisizokuwa za kiuungwana kama hizi. Shafii hongera sana kwa blog yako iko current sana, big up brother
ReplyDeleteAZAM FC WAMEKUBALI MAAMUZI YA PCCB KUWA NI SAHIHI NA KUWARUDISHA WACHEZAJI WAO KUNDINI.
ReplyDeleteJE ULE USHAHIDI WALIOUPELEKA TAKUKURU WALIUTOA WAPI MPAKA WAKUBALI MATOKEO KIRAHISI HIVYO?
SIMBA WAO WAMEVUNJIWA HESHIMA KWA KIASI KIKUBWA CHA KUFANYA WATAKIJUA WAO ILA NINGEKUWA MIMI NINGEFUNGUA KESI YA MADAI ( FIDIA) HUWEZI KUHISI KITU AMBACHO HUNA UHAKIKA NACHO NA KUKIPELEKA SEHEMU KAMA HIYO.
Raha ya soka ni pale ambapo matokeo hayatabiriki,na hii ndio asili ya mchezo wowote wa kimashindano.Rushwa inafanya matokeo ya mechi yatabirike na hivyo kuondoa ladha ya mchezo na kuwaibia fedha watazamaji.Kiini cha rushwa kwa klabu za soka za Tanzania hasa hizi zenye washabiki wengi ni tabia ya WANACHAMA na washabiki kutokubali dhana ya kuwepo matokeo ya aina tatu katika soka,kushinda,sare,na kushindwa na badala yake kutaka timu wanazozishabikia zishinde kila mchezo.Kutokana na tabia hii viongozi wa klabu hizo hulazimika kutafuta ushindi kwa kila mbinu ili kuwaridhisha wanachama na mashabiki na wao kujilinda katika nafasi zao.Huku ni kujidanganya,Hata kama TAKUKURU imeshindwa kupata uthibitisho wa tuhuma dhidi ya wachezaji hawa lisitufanye tubweteke na kulegeza vita dhidi ya rushwa katika soka.RUSHWA IPO KATIKA SOKA LA TANZANIA na inawahusisha wachezaji,makocha,Vongozi wa Vilabu na waamuzi.Ndio maana timu zetu hazifanikiwi kwenye mechi za kimataifa,Hiyo timu inayotuhumiwa kutoa rushwa kwa wachezaji hawa ilipotia mguu mechi za kimataifa imetolewa mapema kwa kufungwa 5-0.
ReplyDeleterushwa katika soka la tanzania ipo hata mheshimiwa jakaya alisema na kila mpenda soka anajua utata upo kwenye kuthibitisha
ReplyDelete