Search This Blog

Tuesday, April 16, 2013

KAMA MIMI NINGEKUWA MAHALA PA ODEN MBAGA NINGEWAPA AZAM 'TUTA',JE WEWE UNGETOA MAAMUZI GANI ?

6 comments:

  1. Kuna hand to ball na ball to hand! hapo mpira umefuata mkono shaffih usipotoshe umma.

    ReplyDelete
  2. Hii ilikuwa ni penati dhahiri na ndio maana kocha wa Azam akahamaki.Ni dhahiri kwamba refa Owden Mbaga aliwahurumia Simba kwani dakika chache kabla ya tukio hili alikuwa ameshatoa penati kwa Azam.Haya ni makosa mbona yule refa Hashim Abdallah alitoa penati tatu kwa simba katika mechi moja na ikashinda 5-0?Uchezeshaji kama huu wa kuzibeba timu zisizo na uwezo ndio unasababisha tupate bingwa feki ambaye akikutana na Libolo kwenye mechi za kimataifa anakikuta kilichomkuta

    ReplyDelete
  3. Swali lako halina msingi hii ndo sababu kuna refa na wachezaji na watazamaji. Huu ulikuwa uamuzi wa refa ambao ndio sahihi kulingana na alivyotafsiri sheria 17. Hupaswi kuwa wewe ndiyo maana katika hili hukuwa wewe Shaffih.

    ReplyDelete
  4. Hapa ndipo inapokuja tofauti Shaffih Dauda na wachambuzi wengine makini...unaonesha udhaifu mkubwa sana brother...nimekuckiliza vizuri tangu kwny analysis ya mechi j'pili kwny sports extra inaonesha usivyo na msimamo...badilika ndugu yangu...
    Ukiwackiliza na kuwasoma wachambuzi wengi makini huwa wanatoa critcism zao bila kusimamia upande wowote...

    ReplyDelete
  5. na lile goli lao ambalo mtu alishika kwanza ndio maana kipa hakujituma kuchezaa ungekua wewe ungefanya nini? tangu mzee akili mali akutishe basi wala haujielewi unaandika nini.

    ReplyDelete
  6. Ungeweka na ile clip ya bao la pili ambali Mieno alifunga baada ya kucontrol mpira kwa mkono.

    ReplyDelete