WAANDISHI MTUSAIDIE KULETA DATA TUWEZE KUFANYA CONSTRUCTIVE DEBATE: Shaffihi hebu tumia taaluma yako kujenga mijadala yenye mashiko. Lete hapa details za malipo ya clubs Kenya, Uganda na Zambia tujue Pia leta facts za jinsi mchakato wao ulivyoanza kama walipitia hatua ya majaribio kama sisi ama walianza tu msimu wa kwanza na kulipa mihila vilabu vyao. Mwisho tupe details kama ni kweli hakukua na majadiliano yoyote kati ya wawakilishi wa vilabu na Kamati/TFF. Kama hakuna kwa nini wakubali round ya kwanza ionyeshwe? Kwa nini vilabu vingine kama Azam, Simba, JKT Oljoro wasilalamike? Je ni kweli mpira ukionyeshwa watu hawaendi uwanjani? Tusemeje lile pambano lililopita nakuoneshwa SS la simba na yanga. Uwanja ulifurika na kutapika kwa washabiki. Tunahitaj mjadala tukiwa na hizi taarifa muhimu.
Tusipoteze muda kwa porojo wakati wenzetu wanaenda ulaya kila kukicha.
WAANDISHI MTUSAIDIE KULETA DATA TUWEZE KUFANYA CONSTRUCTIVE DEBATE:
ReplyDeleteShaffihi hebu tumia taaluma yako kujenga mijadala yenye mashiko. Lete hapa details za malipo ya clubs Kenya, Uganda na Zambia tujue Pia leta facts za jinsi mchakato wao ulivyoanza kama walipitia hatua ya majaribio kama sisi ama walianza tu msimu wa kwanza na kulipa mihila vilabu vyao. Mwisho tupe details kama ni kweli hakukua na majadiliano yoyote kati ya wawakilishi wa vilabu na Kamati/TFF. Kama hakuna kwa nini wakubali round ya kwanza ionyeshwe? Kwa nini vilabu vingine kama Azam, Simba, JKT Oljoro wasilalamike? Je ni kweli mpira ukionyeshwa watu hawaendi uwanjani? Tusemeje lile pambano lililopita nakuoneshwa SS la simba na yanga. Uwanja ulifurika na kutapika kwa washabiki. Tunahitaj mjadala tukiwa na hizi taarifa muhimu.
Tusipoteze muda kwa porojo wakati wenzetu wanaenda ulaya kila kukicha.
Mtanzania X