Search This Blog

Thursday, April 11, 2013

HII NDIO SIRI YA UTAJIRI WA MANCHESTER UNITED - INA WADHAMINI 33 DUNIANI WANAYOIFANYA UNITED KUWA THAMANI($3BILLION) KULIKO VILABU VYOTE VYA MICHEZO DUNIANI



Mshahara wa Wayne Rooney £250,000 kwa wiki pekee unamaanisha kwamba Manchester United wana listi ya bili ndefu za kulipa, lakini kwa bahati nzuri kwa Fergie kuna makampuni kibao yaliyopo duniani kote yanayoingizia fedha za kumwaga kwenye akaunti ya klabu hiyo ya Uingereza.  

Man United mpaka sasa inawezekana ikawa ndio timu yenye wadhamini wengi kuliko timu nyingine yoyte ya soka duniani, ikiwa na wadhamini wapatao 33. Kupitia picha hapo chini utaona mahala makampuni hayo yalipo na maelezo kuhusu nini wanachojishughulisha nacho kama biashara zao ambazo zinawawezesha kujihusisha kibiashara na klabu inayotajwa kuwa na thamani kubwa zaidi ulimwenguni.
Ramani inayoonyesha namna Manchester United inavyoitawala dunia kwa kuwa wadhamini kwenye takribani kila bara - hapa unaona mahala wadhamini hao wanapopatikana.

WADHAMINI WA UNITED KWA MUJIBU WA MTANDAO WA KLABU HIYO NA THAMANI YA KILA MKATABA KWA MWAKA.

AON
Principal sponsor of Manchester United - £20m a year 


DHL
Official logistics partner of Manchester United - £10m 


NIKE
Official kit supplier of Manchester United - £25.4m 


CHEVROLET
Official automotive partner of Manchester United - £12m 

SINGHA
Official beer of Manchester United - £2m 


THOMAS COOK
Official travel partner of Manchester United - £1.3m 


BWIN
Official online gaming and betting partner of Manchester United - £2.4m 


CASILLERO DEL DIABLO
Official wine partner of Manchester United - £2m 

HUBLOT
Official timekeeper of Manchester United - £4m 

 
Mikataba ya hapo chini yote inakadiriwa kuwa na thamani kati ya £1m - £2m...
 
SMIRNOFF
Official responsible drinking partner of Manchester United 


TOSHIBA MEDICAL SYSTEMS
Official medical systems partner of Manchester United 


STC
Official integrated telecommunications partner of Manchester United for Saudi Arabia 


PCCW
Official integrated telecommunications partner of Manchester United in Hong Kong 


TURKISH AIRLINES
Official airline partner 


EPSON
Official office equipment partner of Manchester United 


 
MISTER POTATO
Official savoury snack partner of Manchester United 


YANMAR
Official global partner 

TM
Official integrated telecommunications partner of Manchester United in Malaysia 

GLOBACOM
Official integrated telecommunications partner of Manchester United for Nigeria, Ghana, Republic of Benin 

VIVA KUWAIT
Official integrated telecommunications partner of Manchester United in Kuwait 

MTN
Official integrated telecoms partner of Manchester United for South Africa / Zambia / Rwanda / Uganda / Swaziland / Botswana.

AIRTEL
Official telecommunications partner of Manchester United in India/Sri Lanka/Seychelles/Bangladesh.

ZONG
Official telecommunications partner of Manchester United in Pakistan 

GLOBUL
Official telecommunications partner of Manchester United in Bulgaria 

MAMEE
Official noodles partner of Manchester United for Asia, Oceania and Middle East 

VIVA
Official integrated telecommunications partner of Manchester United in Bahrain 

TURK TELEKOM
Official integrated telecommunications partner of Manchester United in Turkey 

A.P. HONDA
Official motorcycle partner of Manchester United in Thailand

AIRTEL AFRICA
Official telecoms partner in Burkina Faso, Chad, DR Congo, Gabon, Kenya, Madagascar, Malawi, Niger, Sierra Leone, Tanzania, Congo Brazzaville 

BEELINE
Official telecommunications partner of Manchester United in Vietnam, Cambodia and Laos

BAKCELL
Official telecommunications and broadcast partner of Manchester United for Azerbaijan 

KAGOME
Official soft drink partner of Manchester United for Japan 

WAHAHA
Official soft drink partner of Manchester United for China 

PT MULTISTRADA
Official tyre partner of Manchester United 

KANSAI
Official paint partner of Manchester United

No comments:

Post a Comment