Search This Blog

Monday, April 29, 2013

EXCLUSIVE: SHAFFIH DAUDA AINGIA MAZOEZINI RASMI KWA AJILI YA KUJIANDAA KUCHEZA LIGI KUU MSIMU UJAO



 Shaffih Dauda ameingia rasmi kwenye mazoezi ya kujiandaa kwa ajili ya kucheza msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara. Shaffih kwa sasa ameanza mazoezi kwa pamoja na Nsa Job na Credo Mwaipopo maeneo ya Coco Beach wakijiweka fiti zaidi.
Shaffih akiwa na mchezaji wa zamani wa Yanga Credo Mwaipopo mazoezini

Shaffih akiwa na Nsa Job wa Coastal Union mazoezini

Mazoezi mchangani kukata kilo na kutengeneza pumzi - kaeni tayari mabeki wa ligi kuu msimu ujao jembe linarudi kiwanjani.

7 comments:

  1. daah shaffih bhana......... ngoja tuone,umesaini timu gan?

    ReplyDelete
  2. hAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.......sHAfii ungeanzia hospital hapo aga khan kwanza wakucheki mwili mzima then ndiyo wakupe go ahead au lah.Maana kwa jinsi ulivyo wanaweza wakasema inabd ulazwe ICU kwa mwaka mzima kwanza kabla ya kuanza mazoezi maana usije tafutia ufukwe sababu za kuondoa mtu duniani.

    ReplyDelete
  3. Umri wako mkubwa,kacheze veterani

    ReplyDelete
  4. Mmmh misifa mingine jamani,ilimradi mswahili anamiliki blog basi kila anachojisikia kukiweka atakiweka tu.Ananikumbusha enzi za Kajumulo alipokuwa anamiliki timu na kulazimisha na yeye asajiliwe na kupangwa kwenye mechi.Hii blog ni mali ya wasomaji na siyo mmiliki,wasipoisoma utamtangazia nani biashara zake?acha kubweteka

    ReplyDelete
  5. du misifa mingine bwana!

    ReplyDelete