Kipre Tchetche wa
Azam FC, akimtoka Prince Jetoh wa Barrack Young Controllers kwenye
mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika uliochezwa uwanja wa Taifa
leo ambao uliisha kwa sare ya 0-0. Azam FC wamepita kuendelea mbele kutokana na ushindi wao 2-1 waliopata huko Liberia wiki mbili zilizopita. (PICHA KWA HISANI YA LENZI YA MICHEZO BLOG) |
HONGERENI SANA AZAM FC KWA KUTUTOA KIMASOMASO WATANZANIA..........
ReplyDeleteLAKINI HONGERA ZANGU ZIENDANE NA KUWAASA....JANA NIMEFUATILIA MCHEZO KWENYE TV MWANZO MWISHO KWAKWELI NDUGU ZANGU INABIDI MJIREKEBISHE MUENDAKO MAMBO YANAKUWA MAGUMU ZAIDI...SIJUI NI UZEMBE AU ILIKUWA DHARAU KWAKUWA MLIKUWA MMESHINDA MCHEZO WA KWANZA....MAGOLI MENGI SANA MMEKOSA TENA YA WAZI LAKINI PIA MUDA MWINGI MLIWARUHUSU WAO WACHEZE MPIRA KITU AMABCHO SI KIZURI....KADIRI TUNAVYOENDA NGAZI YA JUU NDIVYO MASHINDANO YANAKUWA MAGUMU SO BENCHI LA UFUNDI FANYIENI MAPUNGUFU MACHACHE YALIYOYOPO ILI BENDERA YETU IPEPERUSHWE NA AZAM TUMAINI JIPYA KATIKA SOKA LA TANZANIA...!!