Hapo hakuna jibu baba, kwa sababu kama ni uwezo tumekuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa miaka nenda rudi,kama ni viongozi hao waliopo sasa wengi wao wameshakaa hapo vipindi karibia 2 tunachoona hata kanuni za uchaguzi imekuwa shida kuzitafsiri, kama ni mashabiki wabongo hawaeleweki leo wanashangilia kesho walewale wanazomea - Ulichotakiwa kuweka hapo ALTITUDE ya wachezaji na benchi la ufundi.Ni kujiamini kwamba naweza.

kiukweli hamna jibu hata moja kama uwongozi this time uwongozi mbovu sana. ungesema juhudi za kocha na benchi lake pamoja na wachezaji kutambua majukumu yao
"jibu hapo juu hakuna ndugu" bali mitazamo ya wachezaji na uwezo wa kocha kuitumia taaluma yake vizuri. Wachezaji wa Tanzania vipaji wanavyo miaka nenda rudi lakini walikosa mitazamo yenye tija na mwalimu ambaye angewasaidia kuwajengea hiyo mitizamo.
Hata siku moja mafanikio ya timu hayatokani na sababu moja tu, iwe soka au mchezo mwingine wowote duniani. Hizo zote au baadhi yake zaweza kuwa ni sababu pamoja na nyingine nyingi zikiwepo uwezo wa kocha, maslahi mazuri kwa wachezaji, kocha na benchi zima la ufundi, Timu kuwa pamoja kwa muda mrefu, Kambi nzuri, Mechi za majaribio za kutosha. Morali ya wachezaji, Nidhamu, n.k.
D..vyote apo juu ..lakin kikubwa ni aina ya wachezaji waliopo sasa.
ReplyDeleteBASI JIPYA LA WACHEZAJI.
ReplyDeleteJibu ni E - uwezo mzuri wa kocha!
ReplyDeleteUdhaifu wa timu pinzani
ReplyDeleteA & B
ReplyDeleteHapo hakuna jibu baba, kwa sababu kama ni uwezo tumekuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa miaka nenda rudi,kama ni viongozi hao waliopo sasa wengi wao wameshakaa hapo vipindi karibia 2 tunachoona hata kanuni za uchaguzi imekuwa shida kuzitafsiri, kama ni mashabiki wabongo hawaeleweki leo wanashangilia kesho walewale wanazomea - Ulichotakiwa kuweka hapo ALTITUDE ya wachezaji na benchi la ufundi.Ni kujiamini kwamba naweza.

ReplyDeletekiukweli hamna jibu hata moja kama uwongozi this time uwongozi mbovu sana.
ReplyDeleteungesema juhudi za kocha na benchi lake pamoja na wachezaji kutambua majukumu yao
hakuna jibu, E.kocha bora.
ReplyDeleteJibu ni A
ReplyDeleteMimi Lungo wa Korogwe Tanga.
Frank Raymond Domayo(Tanzanian xabi Alonzo)
ReplyDeleteD
ReplyDelete"jibu hapo juu hakuna ndugu" bali mitazamo ya wachezaji na uwezo wa kocha kuitumia taaluma yake vizuri. Wachezaji wa Tanzania vipaji wanavyo miaka nenda rudi lakini walikosa mitazamo yenye tija na mwalimu ambaye angewasaidia kuwajengea hiyo mitizamo.
ReplyDeleteA hpo ndo jb sahihi...
ReplyDeleteHata siku moja mafanikio ya timu hayatokani na sababu moja tu, iwe soka au mchezo mwingine wowote duniani. Hizo zote au baadhi yake zaweza kuwa ni sababu pamoja na nyingine nyingi zikiwepo uwezo wa kocha, maslahi mazuri kwa wachezaji, kocha na benchi zima la ufundi, Timu kuwa pamoja kwa muda mrefu, Kambi nzuri, Mechi za majaribio za kutosha. Morali ya wachezaji, Nidhamu, n.k.
ReplyDeleteA
ReplyDelete