Search This Blog

Monday, February 25, 2013

SERIKALI YAIPIGA CHINI KATIBA YA TFF YA MWAKA 2012,YAAGIZA UCHAGUZI UFANYIKE KWA KATIBA YA MWAKA 2006

8 comments:

  1. safi sana waziri kwa hili Rais kikwete hakukosea kuwachagueni ninyi watu makini hilo ndo wadau tulikuwa tunasubiri,
    sina cha kuwapa ila mola atawalipia kwa maamuzi mazuri kwa mtakabari wa Nchi yetu na soka letu.

    ReplyDelete
  2. .hakuna sababu ya wazi inayoelezwa ya kufuta katiba ya tff.Mlalamikaji Michael Wambura alilalamika kwamba utaratibu uliotumika kurekebisha katiba kwa njia ya waraka ulikuwa batili.Nilitegemea waziri angetoa majibu ya suala hilo badala yake ynnatolewa maelezo kwamba fomu hazikujazwa.huu ni ubabaishaji mkubwa.utaratibu huo wa kujaza fomu sio wa tff ni wa wizara hivyo sidhani kama una nguvu za kubatilisha katiba iwapo utaratibu wa kutumia waraka ulikuwa sahihi

    ReplyDelete
    Replies
    1. USIANDIKE BILA KUFIKIRIA, UNAWEZA UKAONEKANA AIDHA HUKUELEWA AU NI MTATIZO YA WATU KURUMBANA HATA KAMA MAELEKEZO YAKO WAZI.
      WAZIRI AMESEMA WATU GANI WALITAKIWA WAFANYE NINI, ILI KUFUATA TARATIBU ZA MAMBO WANAYOYASIMAMIA KAMA ZILIVYOPANGWA. WIZARA WANAHUSIKAJE NA UJAZAJI WAKATI WAO NI WATU WA MWISHO KUIPATA HIYO KATIBA BAADA YA KUPITIA TARATIBU ZOTE !!! AU nawe ni mmoja wao wa kurithina madaraka, elewa ndugu yangu DUNIA inabadilika, tujitahidi kuwa wawazi wa kila kinachofanyika na hayo mabadiliko lazima yalifanywa kwa ajili ya kulinda masilahi ya watu. JAMBO AMBALO NI BAYA SANA

      Delete
  3. mbona mmechelewa.FIFA wakija na kusema itumike katiba ya 2012?

    ReplyDelete
  4. Safi sana waziri endelea na msimamo huo hata 2kifungiwa cyo sbb ha2na faida na mashindano ya kimataifa.

    ReplyDelete
  5. hili ni tatizo la viongozi wetu wanakurupuka sana, nalisikiliza clouds siku ya walipomtoa malinzi kamati ya rufaa, akijinasibu kama yeye ni mdau na aksahau kwamba yeye ni waziri mwenye dhamana akoropoka mambo bila kufanya utafiti wowote, kesho yake akaanza kuaymeza maneno yake, leo waziri anajitokeza na kuifuta katiba aliyoisajili yeye mwenyewe, huku hakumbuki kwamba FIFA wana dunia yao wamejificha huko hawana silaha ila hawaingiliwi huko, lazima uumie. waziri turudi kwenye mambo ya msingi na sio kujaza fomu, ulitakiwa kuona kabla haujaisajili. jamaa wanakuja wataendelea na taratibu zao, chondechonde waziri usiwaingilie watatusambaratisha vibaya. rekebisheni mambo tucheze mpira, mpira unawezekana bila malinzi , nyamlani au wambura.

    ReplyDelete
  6. hIVI WATZ SIJUI LINI WATATUMIA VICHWA VYAO KUFIKIRI BADALA YA KUFUATA MKUMBO WA WATU WANAOLALAMIKA SANA KWENYE MEDIA KAMA WAMBURA NA MALINZI,MCHAKATO WA KUREKEBISHA KATIBA YA TFF ULIFANYIKA KWA UWAZI NA HATA HUYO MAKALA ALIFAHAMU HILO NA HATUKUMSIKIA AKILALAMIKA AU KUAGIZA BMT IMPE TAARIFA,ANAPOFUTA KATIBA MAANA YAKE MCHAKATO MZIMA UANZE UPYA SABABU KANUNI ZILIZOTUMIKA KUWAENGUA WAGOMBEA WOTE NI ZA MWAKA 2012,HIVYO ITABIDI TFF WAPITISHE KATIBA UPYA NA KUINGIZA TENA KAMATI YA MTINGINJOLA NA KANUNI HIZO HIZO ZILIZOMUENGUA MALINZI SANA SANA WAZIRI AMEAHIRISHA TATIZO

    ReplyDelete
  7. Ndugu Watanzania ifike kipindi tuache kufanya mambo kwa hisia, kipindi Makala anatoa maoni yake kuhusu mchakato wa uchaguzi TFF ni kwa nini asingemshauri Waziri atoe official statement ya serikali katika hili na badala yake wakajikita katika kutoa maoni yao binafsi nje ya kazi..
    ni kwa nini wanataka kuifanya serikali kama mmoja ya wapiga kampeni wa wagombea flani-flani,.. wanaifanya serikali ifanye maamuzi yaliyojaa hisia ndani yake, je hii ni busara au wanataka kutuharibia mchezo wa mpira wa miguu na taasisi yake nchini?? nguvu kubwa imetumika katika kuijenga taasisi hii kwanini serikali inataka kushiriki kuibomoa??
    Serikali ilikuwa wapi wakati mgogoro huu wa uchaguzi unaanza kwa nini haikuwaita wahusika na kuwahoji mapema kuhusu uhalali wa katiba mpya mapema kabisa au serikali ilikuwa usingizini,? au ndiyo majibu na uhalisia wa mambo na utendaji kazi wa serikali ya awamu ya nne?
    FIFA hawataki mambo yao kuingiliwa na serikali mbaya zaidi katika kipindi ambacho serikali ingeweza kutoa statement na ikasikilizwa iliamua kuendelea kuchapa usingizi Leo suala limekwishafika FIFA na wamesema wanakuja kutatua mgogoro huu wa uchaguzi, nayo serikali ndiyo inaamka kutoka usingizini na kutoa maamuzi yake huku ikitambua wazi kuwa inaingilia mhimili mkuu wa soka duniani ambao hao ndiyo mpira wao, kama serikali haitafuti kutuchanganisha na kuchochea vurugu, wanatafuta nini,????? haya ni maamuzi mabovu kabisa kuwahi kutolewa na wizara ya michezo nchini, kama wanaigiza hivi.....

    ReplyDelete