Search This Blog
Tuesday, February 12, 2013
MJADALA:KUPINGA MAAMUZI YA TFF NI KUKOSA UADILIFU ?
Kama ni hivyo hapakuwa na sababu ya kuwaomba wajumbe wa mikoa kuridhia maamuzi ya TFF. Kuwaomba kulimaanisha kwamba walikuwa na uhuru wa kutoa maoni yao vinginevyo uamuzi huu unamaanisha kwamba kupinga mawazo au maoni ya TFF taifa ni kukosa uadilifu. Kwa lugha nyingine maamuzi ya rais wa TFF ni amri au sheria yakipingwa ni kuvunja sheria!!!! Nchi hii bila kuacha mizengwe na "uswahili" hatuwezi kupiga hatua ktk soka. Inaelekea kuna watu fulani hawatakiwi ktk uongozi wa TFF kwa gharama yoyote
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SOKA LA BOGO FITINA TUPU MALINZI KACHINJIWA BAHARI KISA ALIPINGA MFUMO ULIKUWA UNATUMIKA KUBADILI KATIBA YA TFF
ReplyDeleteKWELI NIMESIKIA HASIRA NA HAPANA NIMEAPA SITAKAA NIINGIE MPIRANI WALA KUANGALIA SOKA LA BONGO HATA KWENYE TV
Mbona story haina kichwa wala miguu? Funguka vizuri ishu ni nini?
ReplyDeleteHAUFUATITLII HABARI ZA SOKA SO HUWEZI JUA,WAACHIE WANAOELEWA MADA WACHANGIE KWANI SI LAZIMA UCOMMENTKILA KITU.
DeleteNAFIKIRI KWA HILI KAMATI PAMOJA NA TFF NI KITU KIMOJA NA KWA MAZINGIRA HAYA HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI KWANI WASHINDI NI PLANNED NA WANAONEKANA
ReplyDeleteHapa Kaka Shafii naisi kuna kitu kinaendelea kati yako weye na TFF na TFF na Malinzi na Bro Wambura, pigana mpaka mwisho kaka
ReplyDeleteNafikiri kuwa kulikuwa na watu ambao walishaandaliwa. ila vigezo na maamuzi haya yangewekwa kwenye sifa za mtu kugombea wadau tukalitolea tamko. Ila hapa ni ubabaishaji tu wa kamati husika.
ReplyDeleteIfike wakati watanzania tuamke na kupinga taratibu za kinyanyasaji kama hizi, mtu unapotezaa muda wako wa jambo lililokwishapatiwa ufumbuzi.
Viongozi wote watakaopatia kana ni batili kwa mtazamo wangu.
Nafikiri kuna haja ya kuunda kamati huru ya uchaguzi inayotokana na wizara husika, takukuru, vilabu vya michezo na vyama vya mchezo huo kimkoa.
Nawakilisha.....
Mr/Mrs. Anonymous hapo juu; mimi nimemuelewa kaka shaffi naomba upaste hapa ile email niliyokutumia nadhani ndiyo umekuwa msingi wa hoja yako hapa kama ina maneno makali nakuruhusu uiedit ili watu wajue unamaanisha nini hapo kwenye statement yako....
ReplyDeleteyou the so called anonymous hapo juu, please fuatilia sababu za kuwatosa baadhi ya wagombea zilizotolewa na kamati hapo jana...samahani nazunguka hasa sababu iliyopelekea kumtosa jamal malinzi..!! au ngoja niitoe mwenyewe ni mawazo yangu tu kaka yatoe kama yalivyo.....nilikuandikia hivi mjomba.tena sijamunung'unya maneno maana naona tunaumia cc wapenzi wa soka letu cjui wanataka nini hawa watu kama wanaogopa visasi waambie wasipolipiziwa na binadamu wenzao hapa dunianai kwa Mungu hawakwepi tenda wema kwa watu hapa duniani kwani hujui kesho utakutana nao wapi.:
KAKA SHAFFI HABARI YA AFYA NA POLE KWA MAJUKUMU...!!
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUKUPONGEZA WEWE PAMOJA NA WAGOMBEA WENGINE WALIOSHINDA RUFANI ZAO TFF SIKU YA JANA.
KAKA SHAFFI NAKUTAKIA KILA LA HERI WEWE NA UONGOZI MPYA KWAKUWA NAJUA MTASHINDA NA KUJENGA SAFU YA UONGOZI YENYE MTAZAMO CHANYA KWA MAENDELEO YA SOKA LETU AMBALO SISI WAPENZI TUNA KIU YA KUONA MAFANIKIO ZAIDI YA HAPA TULIPO..!!
KAKA SHAFFI KAMATI ITUAMBIE HIVI WAMEKWISHA MUANDAA BWANA NYAMLANI KUWA RAISI WA TFF....? PAMOJA NA MAAMUZI YAO MAZURI LAKINI KWA UAMUZI WA KUMUONDOA BWANA JAMAL MALINZI KWANGU MIMI NAONA HAZINA MASHIKO KABISA.....?
UZOEFU WA MIAKA MITANO NI UONGO.....HEBU TUKUMBUSHE MALINZI KAWA KIONGOZI YANGA KWA MIAKA MINGAPI NA SASA NI KIONGOZI KULE KAGERA UKIJUMLISHA HAPO UNAPATA MIAKA MINGAPI...?
SABABU NYINGINE NI KUWA BWANA MALINZI ALIPINGA MUONGOZO WA MABADILIKO YA KATIBA......
HAPO SASA NDIPO NAONA MATEGE YA KUFIKIRI KWA KAMATI HII YA RUFAA...
HIVI WAKINA TENGA WAKATI WANATOA ILE RASIMU YA KATIBA WALIKUWA WANATEGEMEA WOTE WASEME "NDIYO MZEE"...?
LAZIMA WAJUE KUWA WATU HAWAFIKIRII PAMOJA MARA NYINGI LAZIMA KATIKA WAZO FULANI KUWE NA WAZO MBADALLAH!!
HAPO NAHISI KUNA KITU...!!
KWA BWANA WAMBURA NAUNGA MKONO ASILIMIA ZOTE HATA KAMA ANAWEZA KUWA KIONGOZI MZURI LAKINI HISTORIA YAKE INAMUHUKUMU KAKA YANGU WAMBURA...
TANGU NIANZE KUMJUA KAMA KIONGOZI FAT NA SIMBA SC. HAKUNA MWAKA HATA MMOJA ASIWE NA MIGOGORO AU NA VIONGOZI WENZAKE AU NA WANACHAMA HUSIKA...!
HAPO KUNA TATIZO NI SAWA NA MWANAUME UNAKUWA NA MKE WA KWANZA UNAGOMBANANAYE MNAACHANA WA PILI VIVYO HIVYO KAKA YANGU HIVI WATU WATASEMA WANAWAKE NI WABAYA AU WEWE UNA MATATIZO...?
HE CAN GO TO ANOTHER BUSINESS BUT NOT NECESSARILY FOOTBALL!!!
ASANTE
CYRIL KOMBA
MUCCoBS
Moderator unachelewa sana kupublih mawazo ya wadau.
ReplyDelete,walishapanga safu yao ya uongozi,ndio maana wengine wanajaribu kuenguliwa,haiwezekani uchaguzi wa demokrasia, mgombea wa nafasi ya juu awe mmoja,kwa msingi upi? Je kwanini walitaka maoni ya vyama vya mikoa vya wilaya kama ukipinga unaonekana sio mwadilifu,mie naona hayo ni matumizi ya mabavu yanayofanywa na TFF
ReplyDeleteNaomba siku moja watu wote waghaili kwenda uwanjani hata msimu mmoja tu unatosha. Hawa jamaa wanakera sana mambo yaliyofanyika Ufaransa mwaka 1800 wanatuletea hapa. siku tunaghaili wote kuangalia limpira lao tuone watafanya nini. Mi ndio maana napenda man U tu.
ReplyDeleteNAMUOMBA KAKA TENGA AONDOKE TFF KWA HESHIMA KAMA ALIVYOINGIA TAFADHARI....!!
ReplyDelete