Mpira umemalizika Simba 1-1 JKT Oljoro
Mpira unawezaisha muda wowote na matokeo bado 1kwa1.Zimeongezwa dk 2
Dk ya 42 kipindi cha pili simba wanapoteza nafasi ya kupata bao la ushindi.
Dk 37 kipindi cha pili Jkt oljoro wanakosa goli la wazi.
Dk ya 28 kipindi cha pili, simba wanafanya mabadiliko Edward christopher anaingia na anatoka MudeJkt oljoro wanakosa goli la wazi na wanafanya mabadiliko kwa kumtoa Esau.
Ngasa ameingia kuchukua nafasi ya Rashid
Jkt wanasawazisha bao kufuatia uzembe wa beki ya simba.
JKT OLJORO wanakosa goli la wazi na wanafanya mabadiko ya mchezaji.
Mchezaji wa JKT anapewa kadi ya njano kwa kumkwatua Kazimoto.
Kipindi cha pili kimeanza hakuna mabadiliko yoyote.
Mashabiki wanaodhaniwa wa simba wanawashambulia watu waliovaa nguo zinazodhaniwa za CCM.
Dk 38 Oljoro wanalishambulia sana lango la Simba kwani wanaonyesha kuwakamata vilivyo
Hadi dk ya 34 simba wanaongoza goli moja lililofungwa na Kazimoto kwa shuti kali umbali wa mita 30
Paul Ngalema ameumia vibaya na kutolewa uwanjani ameshindwa kuendelea na mchezo
Dk ya 29 JKT OLJORO wanakosa goli la wazi ktk shambulizi baada ya mpira kumtoka mikononi na JKT wakazubaa.
Kikosi cha Simba kinachoanza leo dhidi ya JKT Oljoro
KASEJA, CHOLLO, NGALEMA, KAPOMBE, KEITA, JONAS, KIEMBA, MUDDE, RASHID ISMAIL, KAZIMOTO na Haruni CHANONGO.
Pamoja na kwamba ligi bado lakini kwa mwendo huu Simba tusahau ubingwa.Kulikuwa na haja gani ya kubadilisha kocha? Swali la kujiuliza tatizo ni la wachezaji, kocha, viongozi au mfumo wa uongozi wa Simba? Au ni matokeo ya kawaida?
ReplyDeleteNgasa rudi home Jangwani,,huko sio kwako.....
ReplyDeletewatz wrong with u simba.
ReplyDeleteNdugu Yangu umepaona Ngassa pale Siyo Kwake Arudi Jangwani tu.
ReplyDeleteMatokeo haya yanachefua sana tatzo uongoz umegeuza mpira kama siasa Leo kaburu akisema nyoso ckutaki ndo kinachotokea sababu sioni kaz ya kocha kama viongoz ndo wanaosajili na kupaga timu Sasa kocha anafanya kazi gani? Just imagine tumesajili kipa kwa zaidi ya million 60 wakati 2limwachia barthez kwenda yanga bure pia ukikumbu kaburu na rage walisema wanawekeza kwa vijana matokeo yake tumemfukuza matola na kombe la uhai tumeshndwa kulitetea pia ni huyuhuyu rage alisema hatasajili mchezaji yeyote toka Afrikaans mashariki matokeo yake kamsajili dhaira wa Uganda mim binafsi nashauri rage na uongoz wake waachie ngazi tunataka watu wa vitendo kama kina manji-
ReplyDeletekipigo kwa siumba ni shangwe kwa m,ashabiki wa wa yanga....kwanz simba mna mdomo xanna ?????
DeleteMI SI NILIWAAMBIA RAGE MSANII MKANIONA MZUSHI MNAONA SASA....KAWALETEA KOCHA FEKI KAPIGA PANGA HELA NA KAMNUNUA KIPA HELA NUSU KALA
ReplyDeleteMTAKOMA SIMBA
Tatizo kubwa ni viongozi. Ila pia wachezaji viwango vyao ni vya kawaida mnooooo ! Simba hakuna natural beki wa kati na mauzauza mengi tuu. Rage unachonga sana wakati vitendo zero inaboaa. Me nilijua tuu kumtikua Milovan haikuwa suluhisho coz he's done nothing wrong. Na kumrudisha Julio "malkia wa nyuki" was another problem.
ReplyDeletengassa come home ule vitu na upige soka pasi na shaka hapo jangwani achana na simba
ReplyDeleteNaomba niwakumbushe jambo moja nanyi pia mnijibu,Niwapi Rage aliweza kuongoza pasiwe na matatizo?Nimekuwa TBR kwa miaka mingi naraia walimwamini lkn badala yake chama kikawa na matatizo nahakuna maendeleo yoyote yaliyo fikiwa,alikuwa FAT tuliishia kwenda mahakamani namatatizo kibao,amekuja simba nawapa pole atawavuluga sn nawatastuka timu imeharibika....kwakifupi Rage anapenda uongozi lkn hawezi kuongoza nawatu km Rage hawafai hata katika taifa letu bla bla nyingi mafanikio sifuri,simba stuken jamani
ReplyDeleteTatizo kubwa Simba, ni kuwaiga Yanga kila anapobadili kocha Yanga , simba wanafata. Jiulize tu kulikuwa na ulazima kumfukuza prof?
ReplyDeleteTatizo kubwa Simba, ni kuwaiga Yanga kila anapobadili kocha Yanga , simba wanafata. Jiulize tu kulikuwa na ulazima kumfukuza prof?
ReplyDeleteTatizo kubwa Simba, ni kuwaiga Yanga kila anapobadili kocha Yanga , simba wanafata. Jiulize tu kulikuwa na ulazima kumfukuza prof?
ReplyDeleteTatizo kubwa Simba, ni kuwaiga Yanga kila anapobadili kocha Yanga , simba wanafata. Jiulize tu kulikuwa na ulazima kumfukuza prof?
ReplyDeleteNilishasema toka mwanzo, Simba hamkutumia akili kujaza rundo la makocha kwenye benchi lenu, Basena, Julio,Lewig sijui kha ukiangalia hao jamaa wawili wote wameshakuwa makocha wakuu wa Simba kwa nyakati tofauti sasa na wote wanatumika kutoa maelekezo kwa wachezaji hamuoni kama mnawacontradict hao wachezaji? nafikiri ni ulimbukeni maana kama ni pesa ndo zinawafanya mujaze makocha hapo basi Yanga inetisha maana mijifedha kule ndo kwake
ReplyDeleteMdau
Ni vizuri kwa kuwa program ya vijana inafanya kazi simba tutegemee matunda msimu ujao. Huyu mwalimu ni mzuri kwa maendeleo ya vijana ,ameonyesha kuwaamini damu changa ambao ndio msingi kwa timu mpya inayojengwa BIG UP PL
ReplyDeleteNi vizuri kwa kuwa program ya vijana inafanya kazi simba tutegemee matunda msimu ujao. Huyu mwalimu ni mzuri kwa maendeleo ya vijana ,ameonyesha kuwaamini damu changa ambao ndio msingi kwa timu mpya inayojengwa BIG UP PL
ReplyDelete