Kiungo wa kimataifa wa Cameroon Alex Song anasumbuliwa na goti hivyo hata andamana na kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon kinachokuja kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania hapa jijini Dar Es Salaam.
Daktari wa timu ya Fc Barcelona ametoa taarifa kwenye tovuti ya timu hiyo kuwa Song hataandamana na wenzake kuja Tanzania kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata.
No comments:
Post a Comment