Search This Blog

Tuesday, January 8, 2013

YANGA YAPIGWA 2-1 HUKO UTURUKI NA DENI


9 comments:

  1. Mnatutia aibu tu huko rudini kwenu Royola na mjipime na Kijitonyama FC!!!!!

    ReplyDelete
  2. Akili huna weye uliyendika hapo juu.Je na zile timu zinazofungwa mabao 5 ktk ligi kuu ya Uingera nazo zirudi ligi ya daraja la kwanza.Usiendekeze ushabiki ambao hauna msingi wa maendeleo kwa timu na Nchi yetu.Waache wajifunze

    ReplyDelete
  3. We kweli ua thinking capacity is below 2,young Africans hayo ndo mambo mnayotakiwa kufanya na hapo ndo sehemu mojawapo ya kujifunza soka la duniani koz hata mjasiliamali hujifunza pale anapofanya vibaya ktk biashara yako na kuziba nyufa zote au kuzifanyia kazi,piga kazi young tupo nyuma yenu mafansssssssssssss

    ReplyDelete
  4. we utakuwa simba 2 tim ngapi zinaenda nchi nyingine na zina fungwa hilo ndo soka bhana acha wivu wa ajabu yanga wanaitambulisha tz nje wewe mbona ile droo na wajeruman hukusema ki2@hansIMBA damu

    ReplyDelete
  5. Acha wenzenu wajifue msiingize usimba na uyanga usipochafuka utajifunzaje? nyie nenda Oman mkale tende na halua si mpira.

    ReplyDelete
  6. Huyo jamaa anaonekana bwege kweli!!! sasa atazame viwango vya timu barani ulaya halafu alinganishe na bongo huku..hivi tuko nao sawa??lakini bado yanga inaweza kucheza soka na wazungu wanastaajabu hivi hatathimini hilo??.huyo jamaa ni simba na hana cha kuzungumza...yanga afrika hii sio simba iliyochoka!!!yakupigwa tatu na tusker..waende oman wakale halwa na uji halafu waje tuwafunze mpira!!nyooooo

    ReplyDelete
  7. Nyie mashabiki wa Yanga Kandambili aka Mgongo wazi acheni ushabiki wa kizamani. Timu yenu inacheza na timu za daraja la sita na mnafungwa mnasema good trial. Mwacheni Manji na Bin Kleb wamalize biashara iliowapeleka Turkey ya sembe chafu. Na wakirudi airport tutawapekua hadi matakoni

    ReplyDelete
  8. kwa upande wa Shaffii mlitegemea ataandikaje? tatizo lake ni kwamba hajajitambua kama akili zake hazina akili! anaboa sana huyu jamaa. sijui kazi pale kapataje? na kwenye mkutano wetu hatutaki kumuona!

    ReplyDelete
  9. achana na asiye na akili za soka

    ReplyDelete